spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Nikajua upo kariakoo miaka 10 unajenga ghorofa la 4 saivi kumbe upo zako tu unajua mipango sio mbaya lakini afisa mipangoHayo maghorofa yanayojengwa ni pesa zilizofunguka Toka serikali. Mfumo wa pesa umeshashafunguka tayari Kwa wajanja wa mjini kumbuka miaka Ile ya zamani watu walikuwa wananunua nyumba za kawaida wanavunja na wanajenga maghorofa lkn sikuhizi utakuta ghorofa 7 inavunjwa inajengwa upya kisiasa zaidi..
Nipo kariakoo zaidi ya miaka 10 najua mipango mingi watu wanafanya