Mniombee
Kwa kizazi hiki tulichopo,Kwamba ke wanaihitaji sana ndoa kuliko Me tunavyoihitaji?
Akukujibu uni tagKwamba ke wanaihitaji sana ndoa kuliko Me tunavyoihitaji?
Huku tunapo elekea kuoa kutakuwa ni kitendo cha ujasiri.Kwa kizazi hiki tulichopo,
Ndoa imeshuka thamani Sana kwa wanaume.
Ni wanaume wachache Sana wanampango na ndoa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanaume wengi wamekuwa dhaifu mnoooooo.Kwa kizazi hiki tulichopo,
Ndoa imeshuka thamani Sana kwa wanaume.
Ni wanaume wachache Sana wanampango na ndoa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app