ngumbuke
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 495
- 527
Hawajapata taarifa za kiitelejensia.Kinacho sikitisha zaidi yale mabwanyenye ya kwenye ile taasisi yakuzuia mlungula yame jazana ofisi yakisubiri yapelekewe taarifa kama hizi, huku yakiwa ubunifu na weledi wa kupambana na mlungula....