Mtindo wa ma DC, RC na Mawaziri kusema OCD mchukue huyo wanapozidiwa hoja na wananchi ni wa kitoto sana

Mtindo wa ma DC, RC na Mawaziri kusema OCD mchukue huyo wanapozidiwa hoja na wananchi ni wa kitoto sana

Ngoja watengeneze usugu na kutokuwa na hofu ndiyo watajua namna bora ya kutafuna Big G huku wanakula karanga.
 
Wanataka wote tuwe na akili za kina Mwijaku na Kitenge.
 
Kabisa, unakataa kuondoka naye unapiga hata nduru asiondoke na wewe
Nlishawahi kudindiana na dc wa gairo yule mama,nlimchana live
Kuna maagizo yake anafanya mpaka hRakati za kiuchumi anafanya zinakuwa ngumu
Alitamani sana kutusweka ndani
Ila mwisho wa siku alichemsha
Ona sasa leo sijui yuko wapi

Ova
 
Back
Top Bottom