fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
kwaiyo uchawi haupo au vpMkuu karne 21 unawaza kumroga mtu!!!
Du! kumbe ndomana hata baadhi ya viongozi wanabolonga wakitumainia kulindwa na uchawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaiyo uchawi haupo au vpMkuu karne 21 unawaza kumroga mtu!!!
Du! kumbe ndomana hata baadhi ya viongozi wanabolonga wakitumainia kulindwa na uchawi.
Hahah...Mwingine unamsikia anatamka "Nitaondoka nawewe Sasa hivi" very stupid
Kuna watu wanaona ufahari, kuwaweka wenzao lokupKale ka waziri ni kajinga sana kama ulevi wa madaraka, kama kwenye camera ni vile nyuma ya camera inakuaje?
Kabisa, unakataa kuondoka naye unapiga hata nduru asiondoke na weweHahah...
Akisema ntaondoka na wewe
Wee!unamjibu unaondoka na mimi wapi nyumbani kwako 😄
Ova
Chalamila anaipenda sana hii kauli😆😆Mwingine unamsikia anatamka "Nitaondoka nawewe Sasa hivi" very stupid
Halafu mkoloni mweusi ni mbwa kabisa!Ukoloni ulibadilishwa rangi, kutoka mzungu kuja kwa mwafrica, matendo ni Yale Yale, vyeo ni vile vile vya kikoloni
Nlishawahi kudindiana na dc wa gairo yule mama,nlimchana liveKabisa, unakataa kuondoka naye unapiga hata nduru asiondoke na wewe
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!Dawa wakuu wa mikoa wapigiwe kura, wataacha huo ujinga