Mtindo wa maisha unaomea kwa vijana rijali wa kikristo kufika hadi miaka 30 bila ndoa rasmi, kuna sababu ipi wasiitwe wazinzi waliokubuhu?

Binafsi mm ni mkristo mlutheri mtiifu!

Kila mtu yupo huru kuamua aoe lini na amuoe nan! Kama mtu hataki kuoa aachwe kama anataka kuoa aoe hii dunia kila mtu yupo huru kuamua analolitaka kikubwa asivunje sheria zilizowekwa na mamlaka

Hua nashangaa mtu unasema wanazini kwani kinachokuuma n nn? au unataka akudinye wewe? Kama kijana ana miaka 35 binti ana miaka 30 wakiridhiana wakalala Kwani we unateseka nn?
 
Sijaelewa ukristo umeingiaje hapo??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wakulaumiwa sio vijana ni wazazi. Wazazi wa siku hizi wamekuwa wagense sana yani kwanza mzazi unakubali vipi mtoto wako wakiume anafika 25 hajaoa au hajaolewa. Mbaya zaidi mzazi anakubali kabisa mtoto wake wa kike ajifungilie nyumbni bila kiwa na ndoa. Wazazi wangese sana hawana maadili ata kidogo. Kuwatupia lawama vijana ni uonevu. Kwanza kuwa na mtoto mzinzi ni kuchafua jona la familia sasa siielewi baba mzina na mvi zako u akenua meno tuu. Mie toto langu nalichinja mwenyewe siwezi kuwa na mzinzi ndani ya nyumba yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…