Mtine bonge la CEO. Huyu ndio anaujua sasa mpira wa Afrika

Bwana Bima

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
429
Reaction score
929
Itoshe kusema jamaa anatosha kabisa kukalia kiti cha CEO. Naamini huyu ndo atatusaidia kuleta kombe la CAFCL hapa bongo.

Nilianza kumuelewa kuanzia tulipopangwa na rivers and now tumepewa waamuzi wa Congo wawili yaani referee na line number 2 huyo mbili ni wa south. Ngojeni muone USM watakachofanywa. Tunzeni andiko langu
 
Kuna watu wanadhani yanga kajipanga ndani tu ya uwanja

Yanga kitendo cha kumchukua mtu aliyekuwa CEO wa Tp mazembe ambao wamebeba vikombe vya africa vya kutosha !!!!! Ilikuwa ni call kwa mpira wa Africa.

Mwakani tunaweza kuona maajabu mengi kwenye mpira wa Africa 💛💚💛💚💛💚
 
Huu uzi kama siuelewi elewi hivi mnataka kumaaisha nini? ukikaidi utapigwa2 Tate Mkuu Shadeeya mbona kama uzi huu unalenga kuichafua Yanga kuwa imefika hapa kwa mipango ya nje uwanja? Mleta uzi tuambie huyo C.E.O alifanya kipi kwenye mechi dhidi ya Rivers, na kwenye hii mechi ya fainali CEO kashiriki kipi hadi kuletwa kwa hao waamuzi? Na la mwisho ni kipi Yanga alichoweza kunufaika nacho kwa mazingira ya mambo ya nje ya uwanja maana hakuwahi pata penati, haikuwahi cheza na wapinzani pungufu na kila tukio uwanjani lipo wazi kiasi kwamba hakuwahi kufunga hata goli la offside na likakubalika.
 
We una mattzo na mpira wa africa huujui. Nenda kajifunze then nikujib. Ahsnate
 
Yule CEO alikuwa na kashfa ya ujambazi au mmeleta mwingine
 
Ahahha uyo ndo anafaa. Angalia mamelod walikoishia kisa mpira mchez wa waz mara ooh mpira mbinu au usajili! Tuamke wabongo tunata kufika na kuweka historia kiafrika anza nje
Kaa huamini ngoja game ya kwanza yanga na usm utaniamin yanga anabeba ndoo bila hata kamati za ufundi
 
Kuna watu wanadhani yanga kajipanga ndani tu ya uwanja

Yanga kitendo cha kumchukua mtu aliyekuwa CEO wa Tp mazembe ambao wamebeba vikombe vya africa vya kutosha !!!!! Ilikuwa ni call kwa mpira wa Africa.

Mwakani tunaweza kuona maajabu mengi kwenye mpira wa Africa 💛💚💛💚💛💚
Ngoja uone game ya kwnza wngi waamini
 
Huu uzi kama siuelewi elewi hivi mnataka kumaaisha nini? ukikaidi utapigwa2 Tate Mkuu Shadeeya mbona kama uzi huu unalenga kuichafua Yanga kuwa imefika hapa kwa mipango ya nje uwanja? Mleta uzi tuambie huyo C.E.O alifanya kipi kwenye mechi dhidi ya Rivers, na kwenye hii mechi ya fainali CEO kashiriki kipi hadi kuletwa kwa hao waamuzi? Na la mwisho ni kipi Yanga alichoweza kunufaika nacho kwa mazingira ya mambo ya nje ya uwanja maana hakuwahi pata penati, haikuwahi cheza na wapinzani pungufu na kila tukio uwanjani lipo wazi kiasi kwamba hakuwahi kufunga hata goli la offside na likakubalika.
Huu uzi umeletwa na mtu anayetokea upande ule wa wafa kiume! aka Wazee wa nongwa. Binafsi sijaona ni kwa namna gani Yanga ipate unafuu, kisa tu mwamuzi wa mchezo huo kutokea DRC.
 
We una mattzo na mpira wa africa huujui. Nenda kajifunze then nikujib. Ahsnate
Umeleta uzi hapa na umeleta vitu sensitive sana katika matokeo anayopata Yanga. Sawa sijui mpira wa Africa, wewe unayejua nataka unipe ushahidi wa huu uzi wako ukishindwa kufanya hivyo maanake unaleta uzushi na mambo ya kuhisi. Yajibu maswali yangu hapo juu, Yanga inacheza mpira unaonekana uwanjani hizo mbinu za C EO. ni zipi? Mechi ya Rivers alifanya kipi CEO nje ya uwanja? Usiwe mjinga wa stori za vijiweni kiasi hiko, Yanga imeshinda michezo hadi ya ugenini, kama ni kutegemea mipango ya nje ya uwanja wangeishia kushinda kwa Mkapa pekee. Acha hizo
 
Kama huyo Chief Executive Officer ndiyo anavaa jezi uwanjani basi Sawa sina neno!!
 
Umeleta uzi hapa na umeleta vitu sensitive sana katika matokeo anayopata Yanga. Sawa sijui mpira wa Africa, wewe unayejua nataka unipe ushahidi wa huu uzi wako ukishindwa kufanya hivyo maanake unaleta uzushi na mambo ya kuhisi. Yajibu maswali yangu hapo juu, Yanga inacheza mpira unaonekana uwanjani hizo mbinu za C EO. ni zipi? Mechi ya Rivers alifanya kipi CEO nje ya uwanja? Usiwe mjinga wa stori za vijiweni kiasi hiko, Yanga imeshinda michezo hadi ya ugenini, kama ni kutegemea mipango ya nje ya uwanja wangeishia kushinda kwa Mkapa pekee. Acha hizo
Mpaka uwe na akili ndio utaelewa mtoa mada anamaanisha Nini

Kwa uelewa wako mdogo huu sitashangaa ukiwa mfuasi wa mwamposa maana hamjui kuchanganua na kung'amua

Mpira wa Africa hata uwe na Quality lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ,

Quality+Mbinu nje ya uwanja=Mataji ya Caf

CEO wa Yanga ana uzoefu na hizi mambo toka yupo Mazembe ,

Yanga imepata Marefa watatoka Congo, Ni rahisi kumalizana nao mapema ,iwapo Yanga atatoka na mtaji wa Goli 2-3 , Kombe anabeba

Unajua hii mechi ilikuwa icheze saa 1:00 usiku ?

Sasa Yanga walishaanza mipango mapema kabisa , ilikuwa hivi Yanga alijua akipita atakutana na Pyramid

Hivo Umeme kukata mechi ya Rivers ilikuwa Ni mipango ili mechi na Pyramid ,Yanga wawe na hoja mechi ichezwe saa 10:00 jion

Bahat Akapita Marumo , Lakini advantage ya ule mpango inakuja kutumika mech na USM ALGER , tayari CAF wamewaruhusu Yanga wacheze mechi saa 10:00 jion

Kwa Quality ya Yanga plus Refa kutoka Congo, na Jua la saa 10:00 jion

Yanga ana advantage ya kupata Goli 2-3

Mechi ya Algeria ,Itachezwa saa 1:00 usiku

HIYO NDIO MIPANGO YA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE AFRICA HII

BILA MIPANGO MWISHO NI ROBO FAINAL TU
 
Akili hizi jamani yaani ndio uwezo wako wa kufikiria umegotea hapo? Naomba nikujibu hoja yako moja baada ya moja maana umeonesha haufatilii mambo.

1) Kuhusu muda wa kuchezwa saa kumi ni agizo la serikali na ilitolewa maamuzi hayo kufuatia matukio mawili yaliyoitia dosari nchi kwa taa za uwanja kupungua mwanga. Agizo la serikali likaamua mechi zote zichezwe saa 10 badala ya usiku.

2)Ninataka ushahidi na uthibitisho ni kipi kilichofanyika nje ya uwanja ikapelekea Yanga kushinda. Kama hakuna tukio au mpango wowote uliofanyika maana yake unaongea kwa kuhisia tu. Yanga wanashinda kwa uwezo wao na sio kwa mipango ya nje ya uwanja na ndio maana mpaka sasa imepoteza mechi moja tu away katika kombe la shirikisho. Laiti kama ingekuwa inategemea mipango ya nje ya uwanja wangekuwa wanashindia home pekee kwasababu wana advantage ya figisu.
 
Akili hizi jamani yaani ndio uwezo wako wa kufikiria umegotea hapo? Naomba nikujibu hoja yako moja baada ya moja maana umeonesha haufatilii mambo.

1) Kuhusu muda wa kuchezwa saa kumi ni agizo la serikali na ilitolewa maamuzi hayo kufuatia matukio mawili yaliyoitia dosari nchi kwa taa za uwanja kupungua mwanga. Agizo la serikali likaamua mechi zote zichezwe saa 10 badala ya usiku.

2)Ninataka ushahidi na uthibitisho ni kipi kilichofanyika nje ya uwanja ikapelekea Yanga kushinda. Kama hakuna tukio au mpango wowote uliofanyika maana yake unaongea kwa kuhisia tu. Yamga wanashinda kwa uwezo wao na sio kwa mipango ya nje ya uwanja na ndio maana mpaka sasa imepoteza mechi moja tu away katika kombe la shirikisho. Laiti kama ingekuwa inategemea mipango ya nje ya uwanja wangekuwa wanashindia home pekee kwasababu wana advantage ya figisu.
Nani kaukdanganya SERIKALI ndio imepanga muda uwe 10:00 jion leta ushahidi

Unataka ushahidi wa figisu , ulishajiuliza ile faini aliyopigwa Yanga Ni ya nini
 
Mpaka uwe na akili ndio utaelewa mtoa mada anamaanisha Nini

Kwa uelewa wako mdogo huu sitashangaa ukiwa mfuasi wa mwamposa maana hamjui kuchanganua na kung'amua

Mpira wa Africa hata uwe na Quality lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ,

Quality+Mbinu nje ya uwanja=Mataji ya Caf

CEO wa Yanga ana uzoefu na hizi mambo toka yupo Mazembe ,

Yanga imepata Marefa watatoka Congo, Ni rahisi kumalizana nao mapema ,iwapo Yanga atatoka na mtaji wa Goli 2-3 , Kombe anabeba

Unajua hii mechi ilikuwa icheze saa 1:00 usiku ?

Sasa Yanga walishaanza mipango mapema kabisa , ilikuwa hivi Yanga alijua akipita atakutana na Pyramid

Hivo Umeme kukata mechi ya Rivers ilikuwa Ni mipango ili mechi na Pyramid ,Yanga wawe na hoja mechi ichezwe saa 10:00 jion

Bahat Akapita Marumo , Lakini advantage ya ule mpango inakuja kutumika mech na USM ALGER , tayari CAF wamewaruhusu Yanga wacheze mechi saa 10:00 jion

Kwa Quality ya Yanga plus Refa kutoka Congo, na Jua la saa 10:00 jion

Yanga ana advantage ya kupata Goli 2-3

Mechi ya Algeria ,Itachezwa saa 1:00 usiku

HIYO NDIO MIPANGO YA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE AFRICA HII

BILA MIPANGO MWISHO NI ROBO FAINAL TU
Unasikitisha sana kama ndio mawazo ya mtu mwenye akili timamu anawaza kuwa eti kukatika kwa umeme ni mipango ya Yanga. Unatia aibu sana, tukio la taa limeanzia tokea kwenye mechi ya Simba vs Wydad. Na isitoshe Yanga hawana sababu ya kufanya huo mchezo wa kuzima taa kwasababu kuu mbili na ujione ulivyo mtupu kichwani.

1) sababu ya kwanza ni kuwa ni wazi ilishajulikana kitambo tokea first leg atakayefuzu sio Pyramids bali ni Marumo kwasababu Marumo katoa sare ya magoli Misri hivyo sio bahati bali ilikuwa ilifahamika ni lazima Marumo apite kwasababu hadi mechi ya Dar inacheza timu zote Yanga na Marumo zilikuwa away

Sababu ya pili ni kwamba anayepanga muda wa mchezo ni mwenyeji mwenyewe hivyo hakuna haja ya kufanya huo upuuzi mnaodanganya kijiweni kwako

Kuhusu marefarii, naomba niambie kwanzia Yanga amecheza katika hii michuano ni mechi ipi alipata favour kutoka kwa waamuzi?
 
Back
Top Bottom