Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
We una mattzo na mpira wa africa huujui. Nenda kajifunze then nikujib. AhsnateHuu uzi kama siuelewi elewi hivi mnataka kumaaisha nini? ukikaidi utapigwa2 Tate Mkuu Shadeeya mbona kama uzi huu unalenga kuichafua Yanga kuwa imefika hapa kwa mipango ya nje uwanja? Mleta uzi tuambie huyo C.E.O alifanya kipi kwenye mechi dhidi ya Rivers, na kwenye hii mechi ya fainali CEO kashiriki kipi hadi kuletwa kwa hao waamuzi? Na la mwisho ni kipi Yanga alichoweza kunufaika nacho kwa mazingira ya mambo ya nje ya uwanja maana hakuwahi pata penati, haikuwahi cheza na wapinzani pungufu na kila tukio uwanjani lipo wazi kiasi kwamba hakuwahi kufunga hata goli la offside na likakubalika.
Ahahha uyo ndo anafaa. Angalia mamelod walikoishia kisa mpira mchez wa waz mara ooh mpira mbinu au usajili! Tuamke wabongo tunata kufika na kuweka historia kiafrika anza njeYule CEO alikuwa na kashfa ya ujambazi au mmeleta mwingine
Kaa huamini ngoja game ya kwanza yanga na usm utaniamin yanga anabeba ndoo bila hata kamati za ufundiAhahha uyo ndo anafaa. Angalia mamelod walikoishia kisa mpira mchez wa waz mara ooh mpira mbinu au usajili! Tuamke wabongo tunata kufika na kuweka historia kiafrika anza nje
Ngoja uone game ya kwnza wngi waaminiKuna watu wanadhani yanga kajipanga ndani tu ya uwanja
Yanga kitendo cha kumchukua mtu aliyekuwa CEO wa Tp mazembe ambao wamebeba vikombe vya africa vya kutosha !!!!! Ilikuwa ni call kwa mpira wa Africa.
Mwakani tunaweza kuona maajabu mengi kwenye mpira wa Africa 💛💚💛💚💛💚
Kabisa kabisa. Leo man u angekua vizr angebeba kila komba trace man u ya kipndi cha furguson figisu zilikua kibaoKabisa mkuu....wazungu wanakuambia kaa karibu na waridi ....unukie
Huu uzi umeletwa na mtu anayetokea upande ule wa wafa kiume! aka Wazee wa nongwa. Binafsi sijaona ni kwa namna gani Yanga ipate unafuu, kisa tu mwamuzi wa mchezo huo kutokea DRC.Huu uzi kama siuelewi elewi hivi mnataka kumaaisha nini? ukikaidi utapigwa2 Tate Mkuu Shadeeya mbona kama uzi huu unalenga kuichafua Yanga kuwa imefika hapa kwa mipango ya nje uwanja? Mleta uzi tuambie huyo C.E.O alifanya kipi kwenye mechi dhidi ya Rivers, na kwenye hii mechi ya fainali CEO kashiriki kipi hadi kuletwa kwa hao waamuzi? Na la mwisho ni kipi Yanga alichoweza kunufaika nacho kwa mazingira ya mambo ya nje ya uwanja maana hakuwahi pata penati, haikuwahi cheza na wapinzani pungufu na kila tukio uwanjani lipo wazi kiasi kwamba hakuwahi kufunga hata goli la offside na likakubalika.
Umeleta uzi hapa na umeleta vitu sensitive sana katika matokeo anayopata Yanga. Sawa sijui mpira wa Africa, wewe unayejua nataka unipe ushahidi wa huu uzi wako ukishindwa kufanya hivyo maanake unaleta uzushi na mambo ya kuhisi. Yajibu maswali yangu hapo juu, Yanga inacheza mpira unaonekana uwanjani hizo mbinu za C EO. ni zipi? Mechi ya Rivers alifanya kipi CEO nje ya uwanja? Usiwe mjinga wa stori za vijiweni kiasi hiko, Yanga imeshinda michezo hadi ya ugenini, kama ni kutegemea mipango ya nje ya uwanja wangeishia kushinda kwa Mkapa pekee. Acha hizoWe una mattzo na mpira wa africa huujui. Nenda kajifunze then nikujib. Ahsnate
Hahaha na kupiga picha na kutupiamoYule ceo wao alopita kazi yake kubwa ilikua ni kuhudhuria mikutano ya CAF ambayo hajaalikwa.
Mpaka uwe na akili ndio utaelewa mtoa mada anamaanisha NiniUmeleta uzi hapa na umeleta vitu sensitive sana katika matokeo anayopata Yanga. Sawa sijui mpira wa Africa, wewe unayejua nataka unipe ushahidi wa huu uzi wako ukishindwa kufanya hivyo maanake unaleta uzushi na mambo ya kuhisi. Yajibu maswali yangu hapo juu, Yanga inacheza mpira unaonekana uwanjani hizo mbinu za C EO. ni zipi? Mechi ya Rivers alifanya kipi CEO nje ya uwanja? Usiwe mjinga wa stori za vijiweni kiasi hiko, Yanga imeshinda michezo hadi ya ugenini, kama ni kutegemea mipango ya nje ya uwanja wangeishia kushinda kwa Mkapa pekee. Acha hizo
Mpaka uwe na akili ndio utaelewa mtoa mada anamaanisha Nini
Kwa uelewa wako mdogo huu sitashangaa ukiwa mfuasi wa mwamposa maana hamjui kuchanganua na kung'amua
Mpira wa Africa hata uwe na Quality lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ,
Quality+Mbinu nje ya uwanja=Mataji ya Caf
CEO wa Yanga ana uzoefu na hizi mambo toka yupo Mazembe ,
Yanga imepata Marefa watatoka Congo, Ni rahisi kumalizana nao mapema ,iwapo Yanga atatoka na mtaji wa Goli 2-3 , Kombe anabeba
Unajua hii mechi ilikuwa icheze saa 1:00 usiku ?
Sasa Yanga walishaanza mipango mapema kabisa , ilikuwa hivi Yanga alijua akipita atakutana na Pyramid
Hivo Umeme kukata mechi ya Rivers ilikuwa Ni mipango ili mechi na Pyramid ,Yanga wawe na hoja mechi ichezwe saa 10:00 jion
Bahat Akapita Marumo , Lakini advantage ya ule mpango inakuja kutumika mech na USM ALGER , tayari CAF wamewaruhusu Yanga wacheze mechi saa 10:00 jion
Kwa Quality ya Yanga plus Refa kutoka Congo, na Jua la saa 10:00 jion
Yanga ana advantage ya kupata Goli 2-3
Mechi ya Algeria ,Itachezwa saa 1:00 usiku
HIYO NDIO MIPANGO YA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE AFRICA HII
BILA MIPANGO MWISHO NI ROBO FAINAL TU
Nani kaukdanganya SERIKALI ndio imepanga muda uwe 10:00 jion leta ushahidiAkili hizi jamani yaani ndio uwezo wako wa kufikiria umegotea hapo? Naomba nikujibu hoja yako moja baada ya moja maana umeonesha haufatilii mambo.
1) Kuhusu muda wa kuchezwa saa kumi ni agizo la serikali na ilitolewa maamuzi hayo kufuatia matukio mawili yaliyoitia dosari nchi kwa taa za uwanja kupungua mwanga. Agizo la serikali likaamua mechi zote zichezwe saa 10 badala ya usiku.
2)Ninataka ushahidi na uthibitisho ni kipi kilichofanyika nje ya uwanja ikapelekea Yanga kushinda. Kama hakuna tukio au mpango wowote uliofanyika maana yake unaongea kwa kuhisia tu. Yamga wanashinda kwa uwezo wao na sio kwa mipango ya nje ya uwanja na ndio maana mpaka sasa imepoteza mechi moja tu away katika kombe la shirikisho. Laiti kama ingekuwa inategemea mipango ya nje ya uwanja wangekuwa wanashindia home pekee kwasababu wana advantage ya figisu.
Unasikitisha sana kama ndio mawazo ya mtu mwenye akili timamu anawaza kuwa eti kukatika kwa umeme ni mipango ya Yanga. Unatia aibu sana, tukio la taa limeanzia tokea kwenye mechi ya Simba vs Wydad. Na isitoshe Yanga hawana sababu ya kufanya huo mchezo wa kuzima taa kwasababu kuu mbili na ujione ulivyo mtupu kichwani.Mpaka uwe na akili ndio utaelewa mtoa mada anamaanisha Nini
Kwa uelewa wako mdogo huu sitashangaa ukiwa mfuasi wa mwamposa maana hamjui kuchanganua na kung'amua
Mpira wa Africa hata uwe na Quality lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ,
Quality+Mbinu nje ya uwanja=Mataji ya Caf
CEO wa Yanga ana uzoefu na hizi mambo toka yupo Mazembe ,
Yanga imepata Marefa watatoka Congo, Ni rahisi kumalizana nao mapema ,iwapo Yanga atatoka na mtaji wa Goli 2-3 , Kombe anabeba
Unajua hii mechi ilikuwa icheze saa 1:00 usiku ?
Sasa Yanga walishaanza mipango mapema kabisa , ilikuwa hivi Yanga alijua akipita atakutana na Pyramid
Hivo Umeme kukata mechi ya Rivers ilikuwa Ni mipango ili mechi na Pyramid ,Yanga wawe na hoja mechi ichezwe saa 10:00 jion
Bahat Akapita Marumo , Lakini advantage ya ule mpango inakuja kutumika mech na USM ALGER , tayari CAF wamewaruhusu Yanga wacheze mechi saa 10:00 jion
Kwa Quality ya Yanga plus Refa kutoka Congo, na Jua la saa 10:00 jion
Yanga ana advantage ya kupata Goli 2-3
Mechi ya Algeria ,Itachezwa saa 1:00 usiku
HIYO NDIO MIPANGO YA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE AFRICA HII
BILA MIPANGO MWISHO NI ROBO FAINAL TU