Umekurupuka sana, siku nyingine ujipange vizuri humu sio facebook au vijiwe vyenu vya mtaani. Angalia hiyo barua kipengele namba tatuNani kaukdanganya SERIKALI ndio imepanga muda uwe 10:00 jion leta ushahidi
Unataka ushahidi wa figisu , ulishajiuliza ile faini aliyopigwa Yanga Ni ya nini
Duh watu mnajua kufukunyuq aiseeMpaka uwe na akili ndio utaelewa mtoa mada anamaanisha Nini
Kwa uelewa wako mdogo huu sitashangaa ukiwa mfuasi wa mwamposa maana hamjui kuchanganua na kung'amua
Mpira wa Africa hata uwe na Quality lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ,
Quality+Mbinu nje ya uwanja=Mataji ya Caf
CEO wa Yanga ana uzoefu na hizi mambo toka yupo Mazembe ,
Yanga imepata Marefa watatoka Congo, Ni rahisi kumalizana nao mapema ,iwapo Yanga atatoka na mtaji wa Goli 2-3 , Kombe anabeba
Unajua hii mechi ilikuwa icheze saa 1:00 usiku ?
Sasa Yanga walishaanza mipango mapema kabisa , ilikuwa hivi Yanga alijua akipita atakutana na Pyramid
Hivo Umeme kukata mechi ya Rivers ilikuwa Ni mipango ili mechi na Pyramid ,Yanga wawe na hoja mechi ichezwe saa 10:00 jion
Bahat Akapita Marumo , Lakini advantage ya ule mpango inakuja kutumika mech na USM ALGER , tayari CAF wamewaruhusu Yanga wacheze mechi saa 10:00 jion
Kwa Quality ya Yanga plus Refa kutoka Congo, na Jua la saa 10:00 jion
Yanga ana advantage ya kupata Goli 2-3
Mechi ya Algeria ,Itachezwa saa 1:00 usiku
HIYO NDIO MIPANGO YA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE AFRICA HII
BILA MIPANGO MWISHO NI ROBO FAINAL TU
Mpaka uwe na akili ndio utaelewa mtoa mada anamaanisha Nini

Unqmqanisha home pekee kama simba? Ya kina lous au? Kwa mkapa hatoki mtuAkili hizi jamani yaani ndio uwezo wako wa kufikiria umegotea hapo? Naomba nikujibu hoja yako moja baada ya moja maana umeonesha haufatilii mambo.
1) Kuhusu muda wa kuchezwa saa kumi ni agizo la serikali na ilitolewa maamuzi hayo kufuatia matukio mawili yaliyoitia dosari nchi kwa taa za uwanja kupungua mwanga. Agizo la serikali likaamua mechi zote zichezwe saa 10 badala ya usiku.
2)Ninataka ushahidi na uthibitisho ni kipi kilichofanyika nje ya uwanja ikapelekea Yanga kushinda. Kama hakuna tukio au mpango wowote uliofanyika maana yake unaongea kwa kuhisia tu. Yamga wanashinda kwa uwezo wao na sio kwa mipango ya nje ya uwanja na ndio maana mpaka sasa imepoteza mechi moja tu away katika kombe la shirikisho. Laiti kama ingekuwa inategemea mipango ya nje ya uwanja wangekuwa wanashindia home pekee kwasababu wana advantage ya figisu.