Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kila daraja Lina vyeo viwili 1 & 2 kasoro senior tu.Mbona kimeshuka sio 2c
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila daraja Lina vyeo viwili 1 & 2 kasoro senior tu.Mbona kimeshuka sio 2c
badiliko gani unalotaka?Sioni badiliko
Mshahara umebadilika!!??Mbona sioni changes kwenye mfumo??
Cheo hakibadiliki mpaka mshahara ubadilike ..je mshahara umebadilika!??Cheo mkuu
SawaKila daraja Lina vyeo viwili 1 & 2 kasoro senior tu.
Kipi kinaanzaCheo hakibadiliki mpaka mshahara ubadilike ..je mshahara umebadilika!??
Walimu wana hasira za kukosa mserereko, hadi leo 23rd June hawaoni badiliko. Chunga usije ukapigwa ngumi ya pua bureeMkuu umechukia...pole
Cheo ...... Au vyote Kwa pamoja ..hivyo asubiri mshahara ukitoka .... Hii ni kupunguza malimbikizo ya mishahara.... Ilikuwa inatokea unabadilishiwa halafu mshahara unakuja kubadilika hata miezi minne mpaka sita mbele hivyo unaongeza malimbikizo ya madeni ya mshahara...Ili kupunguza hiyo mfumo inatiki wenyewe.... Ukishatiki na kubadili cheo na mshahara ndio barua zinaandaliwa. Ukimpa mtu barua ya kupanda cheo bila mshahara kubadilika napo ni kutengeneza madeni ya malimbikizo ya mshahara.Kipi kinaanza
Usikariri Mkuu .sio kila anayejua Taratibu za walimu na vyeo basi ni mwalimu....Walimu wana hasira za kukosa mserereko, hadi leo 23rd June hawaoni badiliko. Chunga usije ukapigwa ngumi ya pua buree
Kumbuka A ni Astashahada, B ni Stashahada, C ni Shahada hivyo vyote huanza na III mfano IIIAMbona kimeshuka sio 2c