Mtiririko wa vyeo..msaada tafadhali

Mtiririko wa vyeo..msaada tafadhali

Kipi kinaanza
Cheo ...... Au vyote Kwa pamoja ..hivyo asubiri mshahara ukitoka .... Hii ni kupunguza malimbikizo ya mishahara.... Ilikuwa inatokea unabadilishiwa halafu mshahara unakuja kubadilika hata miezi minne mpaka sita mbele hivyo unaongeza malimbikizo ya madeni ya mshahara...Ili kupunguza hiyo mfumo inatiki wenyewe.... Ukishatiki na kubadili cheo na mshahara ndio barua zinaandaliwa. Ukimpa mtu barua ya kupanda cheo bila mshahara kubadilika napo ni kutengeneza madeni ya malimbikizo ya mshahara.
 
Back
Top Bottom