Mtitu na Wema wazichapa msibani

Hii kitu mupya kwenye maisha yangu naiona bongo movie
watu wanalazimishwa kwenda msibani....
 
Hahaha hizi stori za bongo movie huwa zipo interested sana.Yaani zimekaa kimaigizo sana.
 
Kuna uzi nautafuta aliutoa amu anataka namba ya Clement kachoka kula vumbii etii hajakupm

nilimuona, nikamwambia asikate tamaa, atafutae hachok so akazane tu
 
Last edited by a moderator:
kwanza mke wa daimond hapendi kwenda kwenye misiba
 
hivi Steve kwanini ana wafatilia sana hawa mabinti? Hachoki?
 
Ila matola anaongoza kwa kupigwa ban,kila ID lazima ipigwe ban.

Ana mda nchafu sana wa kupiteza hapa jf ingawa huwa anajitapa anauwezo lakini kwa tabia zake anaonekana hana kazi....

Kutwa kutafuta ligi zisizo na msingi halafu ana IDs kama mchanga...

Kwa ujumla hajielewi....
 
Kuna habari zinadai pia Steve Nyerere na JB pia walizipiga huko ktk msiba siku ya kuuaga mwili wa marehemu huko Bunju. Chanzo cha ugomvi kinadaiwa ni kudhulumia deal la matangazo ya airtel ambalo Steve ndiye aliyelipata na wakawa wanashirikiana na JB na Bi Kiroboto ila JB akapitia mlango wa nyuma akawa peke yake. Hii ni meiona ktk blog hivyo warumi tujuze kama ni kweli au?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…