Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hii kitu mupya kwenye maisha yangu naiona bongo movie
watu wanalazimishwa kwenda msibani....
watu wanalazimishwa kwenda msibani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilimuona, nikamwambia asikate tamaa, atafutae hachok so akazane tu
hivi Steve kwanini ana wafatilia sana hawa mabinti? Hachoki?
Amepigwa ban ila yupo kwa ID nyingine hapa
Ila matola anaongoza kwa kupigwa ban,kila ID lazima ipigwe ban.
Amepigwa ban ila yupo kwa ID nyingine hapa
heeee nilitabiri tu maana anapenda kuandika mbofumbofu
Hana kazi ndio maana halafu na ugumu wa maisha unachangia....
hahahaha hata mi naona lol