FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Kuna mambo ambayo tunaweza kumlaumu steps na mengine ni uzembe wetu, uvivu wa kufikiri na uzito wa kufanya maamuzi.....
Steps (mnyonyaji) aliona fursa ...akawekeza pesa ili apate pesa...sasa wabongo mlikuwa wapi ?
Kwa kuwa steps ni mfanya biashara na tabia za wafanya biashara wengi (haswa wadosi) ni pesa mbele utu nyumba...huyu ndugu hana uzalendo na tasnia hii hata kidogo.
Hajali chochote kuona industry inafika mahali..na hili halihitaji elimu ya chuo kikuu kugundua kutokujali kwake...kitendo cha kuwasimamia watu kutengeneza part 1 na 2, kuwaambia waandae filamu moja kila mwezi... jiulize huyu bwana ana utaahira gani wa kutojua kwamba kwa njia hii hakuna cha maana kitafanyika zaidi ya madudu tunayoendelea kuona..kwao bollywood mbona hawafanyi ujinga huo ?
Atauza "uchafu " wenu, anatengeneza mamilioni, na siku biashara ikibuma anahamia biashara nyingine, (ana biashara nyingi ikiwemo ya mapikipiki)
Wasanii wanaojiita wakubwa (kina Shabani)...RAY, JB, CLOUD na wengine... wamelishwa limbwata na huyu (Kanjibai) basi huwaambii lolote....ni ajabu na kweli watu wazima na akili zao wanatengeneza filamu miaka nenda rudi lakini ukihoji kwa nini filamu hazina jipya watakwambia yale yale ya siku zote...bajeti zetu ndogo....bado tuwachanga, wateja wetu ni kina mama na watoto n.k.
Tatizo lingine ni serikali na watendaji wake...kuna bodi ya filamu ambayo sijui kazi yao haswa ni nini...wao ndio walipaswa kujua msanii anaweza kuuza kiasi gani....na kwa mazingira gani...na kama wanapunjwa/wanadhulumiwa bodi ishauri wafanye nini...Kuna wasomi wa chuo kikuu (ila sijui kama wanasoma filamu au sanaa) hawa kazi yao ni kukosoa hizo filamu za kina Ray badala na wao kutengeneza hizo filamu bora ziwe mfano kwa hao kina Ray.......