Mtizamo wa Mwalimu Nyerere kuhusu Libya, Misri, na Palestina

Mtizamo wa Mwalimu Nyerere kuhusu Libya, Misri, na Palestina

I would say there are more swahili readers than English ones,

..I agree.

..but majority of swahili readers are not interested in reading articles like the one before us, or about historic figures such as Mwalimu Nyerere.
 
..you can translate the article into swahili but i doubt it if you will find that many readers.
Joka, tatizo kubwa ni kutokuwa na interest. Hata kama utatfsiri bado hawatasoma
Katika enzi hizo hiyo article ingekuwa na purpose mbili kwa msomaji, kujifunza lugha na kuelewa contents
Kizazi hiki cha sasa hakina interest na mambo ya dunia zaidi ya personality za celeb.

Hii nadhani utakumbuka hasa pale Nkrumah Hall na viunga vya UDSM miaka ya 70 , 80 . Mijadala iliyokuwa pale ilikuwa katika viwango vya kimataifa. Kama ni masuala ya kitaifa yalijadiliwa na kuchambuliwa kimalilifu

Akina Thabo Mbeki, Museveni, Garang, Neto, Prof Wamba, akina Walter R na wengine ni mashahidi.
Nenda UDSM zama hizi, hakuna chochote hakuna lolote

Hapa JF tumejaribu kuandika kiswahili lakini attraction ya raders ni ndogo kwasababu hakuna interest.

Hili ni tatizo kubwa sana kwasababu vijana wetu wanapokuwa katika nyanja za kitaifa au kimataifa wanakuwa ''off guard and pants down'' wakibaki kuwashangaa majirani kama Kenya na Uganda ambao basically si kwamba wana hoja bali anajua ku articulate kidogo wanachojua
 
..nakubaliana na wewe 100%.

..kizazi ambacho kilipewa elimu nzuri ndiyo kimewasaliti vijana wa sasa hivi kwa kuwapa elimu isiyo na viwango.

..na ili kuweza kushindana ktk zama hizi, kijana wa kitanzania lazima awe anajua mambo mengi kuanzia sanaa, sayansi, teknolojia, na mpaka lugha.

..vilevile kauli za kuponda wasomi, au elimu, zimekuwa nyingi siku hizi. sisi wakati tunakuwa wasomi walikuwa hawafedheheshwi kama inavyotokea sasa hivi. nadhani siyo vizuri vijana wetu kukua ktk mazingira ambayo kauli za kuwaponda wasomi zinasikika mara kwa mara.
 
..nakubaliana na wewe 100%.
..kizazi ambacho kilipewa elimu nzuri ndiyo kimewasaliti vijana wa sasa hivi kwa kuwapa elimu isiyo na viwango.
Na hii imekuwa vicious cycle ! sijui kama kuna kurudi katika zama za zamani ambako msomi ni 'intellectual''
..na ili kuweza kushindana ktk zama hizi, kijana wa kitanzania lazima awe anajua mambo mengi kuanzia sanaa, sayansi, teknolojia, na mpaka lugha.
Hapa ndipo tatizo lilipo kwa vijana wetu na ndio maana wanawaogopa vijana wa nchi jirani. Kuna mapungufu ya weledi kwasababu hawasomi magazeti ya maana , hawasomi vitabu, hawasomi majarida n.k.
Mtu asiyweza kumwelewa Nyerere wa nchini kwake, mtu huyo hawezi kumwelewa Walter Sissulu, Nkrumah, Gandhi, Guevara , Churchill au Lincoln.

Hakuna interest kabisa.
..vilevile kauli za kuponda wasomi, au elimu, zimekuwa nyingi siku hizi. sisi wakati tunakuwa wasomi walikuwa hawafedheheshwi kama inavyotokea sasa hivi. nadhani siyo vizuri vijana wetu kukua ktk mazingira ambayo kauli za kuwaponda wasomi zinasikika mara kwa mara.
Kwa hili la Wasomi kuna tatizo kidogo. Wasomi wetu na hasa Maprofesa wa zama hizi wanakuwa ni sababu ya wao kudharaulika.Wasomi wanapokea maagizo na kuyakubali kwa kuyajengea uhalali bila usomi.
Kudharaulika kwao ni kwasababu ya uduni wao na hao ndio wanaofundisha vijana wetu.

Tatizo ni kubwa kiasi kwamba hata sehemu tulizotegemea kuwa independent zimeingiliwa na gonjwa la kudharauliwa, si kwasababu wanaonewa bali matendo yao ni chanzo
 
Alichojaribu mwalimu ni kumjaza pumba mzee Gaddafi, Ila Gaddafi alikua sahihi aliyokua akiyaamini.
Nadhani alikuwa anajaribu kumuingiza kingi. Alikuwa anaogopa influence ya Gaddafi ndani ya Tanzania.

Nyerere alikuwa na akili sana ila pia alikuwa na ujanja ujanja mwingi.
 
Nyakati zimebadilika, japo nae huwa namsikia akisema anafuata nyayo za baba wa taifa, sijui anamaanisha nyayo gani hizo.

"Action speaks louder than words"
Ww jamaa comment zako ni balaa, ntajitahidi niwe nazisoma zote[emoji23][emoji23]
 
Uliyosema ni sawasawa kabisa; in fact West German walirespond kwa kubomoabomoa barabara walizokuwa wameshajenga hapo Dar na kurudisha kwao vifaa vya hospitali walivyokuwa wameleta Ocean Road. Nyerere akawaambia wachukue hata sindano walizoleta.

Bahati nzuri sana hawakubomoa Ukumbi wa Nkrumah ambao waliujenga kwa vile wakati huo ukumbi ulikuwa umeshakamilika na wakandarasi walishaondoka.
Wanaroho mbaya hao
 
Back
Top Bottom