Huyo mwananchi nani na nani?Kimoyo moto unakubari jinsi wananchi wanavyocheza
Hata manura .....tumpe muda pale taifa stars....as long as Kuna beki za Yanga no ploblemUmesema ukweli mtoa Mada Mimi ni Yanga na kuna uzi nilisema beki za Yanga ndo zipangwe Taifa Stars sababu ukuta wao umeruhusu goli chache ligi kuu leo ukweli umedhihiri.
Pia nilisema Novatus asifanyiwe sub na imejibu pia!
Wachezaji wa Simba wanaofaa Taifa Stars ni Mzamiru na Kibu Denis tu maana timu ya Taifa wengine wote Huwa hawajitumi.
Kocha mpya mwarabu ameanza vizuri apewe muda hata five years Ili kina Sopu waje watuokoe maana Wana njaa ya kufunga!
Eti by origin...Aliyefunga ni mwananchi by origin ....as well as mtoa assist
Wanamatatizo ya akiliHao hao walianzisha nyuzi za kuishabikia Uganda kisa Feisal kaitwa kwny kikosi...
Kumbe unaelewa mkuu.....jf ya saiz ndo ilivyo...Mnaocomment kumkashifu mtoa mada mnakosea sana, sababu mtoa mada sio kama haelewi ila anapata furaha zaidi pale mnapokuwa mnampinga.
Kwangu mimi mtoa mada nakuunga mkono ikiwezekana na bangala na mayele wawepo pale ili Tanzania ishinde.
Ukianzisha vita usimchagulie adui silaha ya kutumia. Ameyataka mwenyeweMtani kuyaoga yeye ni sawa, si kuingiza mzazi. Mambo ya ushabiki kutukana wazazi si sawa. Hata matusi si sawa. Kuna maneno mengi ya kishabiki, unaweza yatoa na yakamuingia.
Makolo ....ndicho walichobaki nachoNyie mnaotukana hadi wazazi wa mtu, mnakosea sana. Aliyeandika hapa ni mzazi wake?
Mambo ya ushabiki yasifike kutoa utu wa mtu, hata kama unatumia ID fake.
Kutukana siyo kwamba ujanja. Ni ukosefu wa heshima na akili.
Jibu hoja kwa ushabiki aliouandika si matusi.
Leo hebu Makolo wote njooni na umbumbumbu wenu tuambieni mkisema utopolo Hatuna akili Huwa mna hoja Gani? Makombe yote tunayo, mpira tunaujua tunaanzia mashambulizi Nyuma, derby ya kkoo Huwa tunawapiga kama Ngoma, ligi ya shirikisho tumeingia makundi, mfungaji Bora ligi kuu Mayele, Musonda Kawa wa moto sana, Feitoto mmeshindwa kumchukua! Kaze anahitajika Taifa Stars, Sasa nyie Makolo Mnatakaje?Masikini akipata makalio hulia mbwata.
Kipofu kaona mwezi......
Hivi maneno ya Haji ni kweli eee!!! Hawazidi wawili wengine wote weupeee🙆🙆🙆
Mkuu....vp yule aliyewaletea key player kwenye campaignTukiwasema yule mzee wenu anapanic ..
Eti ni usalama wa taifa anaweza kufika ikulu anything anytime....kwa panic mpaka anakosea kingereza
View attachment 2564171
Sisi wengine tunapenda tension ....kama hiziNakupenda mtani wangu Bantu Lady .. ila huyu mwache tuu ayaoge my dear...huyu nyuzi zake huwa ni za kukera...
Ni kweli ya wazazi hayana afya ila ya kumchamba yeye wacha achambwe..