Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Nilikwambia unajipotezea heshima ndogo uliyonayo naona inaenda kutimia...ngoja uoge matusi...
Huyo aliefunga ni utopolo? Kipa golini ni utopolo?
Aliyefunga ni mwananchi by origin ....as well as mtoa assist
 
Umesema ukweli mtoa Mada Mimi ni Yanga na kuna uzi nilisema beki za Yanga ndo zipangwe Taifa Stars sababu ukuta wao umeruhusu goli chache ligi kuu leo ukweli umedhihiri.

Pia nilisema Novatus asifanyiwe sub na imejibu pia!

Wachezaji wa Simba wanaofaa Taifa Stars ni Mzamiru na Kibu Denis tu maana timu ya Taifa wengine wote Huwa hawajitumi.

Kocha mpya mwarabu ameanza vizuri apewe muda hata five years Ili kina Sopu waje watuokoe maana Wana njaa ya kufunga!
Hata manura .....tumpe muda pale taifa stars....as long as Kuna beki za Yanga no ploblem
 
Tunajaribu Saana Kuwafunika funika Wana Utopolo Lkn Waaapi Lazima Mjionyeshe Kuwa Nyie ni Hamnazo..!

Manara Aliimaliza Kesi Yenu.!
Wenye Akili hawazidi Wawili huko
Bila Shaka umeinjoy pira ushindi....plus burudani
 
Mnaocomment kumkashifu mtoa mada mnakosea sana, sababu mtoa mada sio kama haelewi ila anapata furaha zaidi pale mnapokuwa mnampinga.

Kwangu mimi mtoa mada nakuunga mkono ikiwezekana na bangala na mayele wawepo pale ili Tanzania ishinde.
Kumbe unaelewa mkuu.....jf ya saiz ndo ilivyo...
 
Kwa hizo akili zako we kama kijana wa taifa hili, hatuwezi kufika uchumi wa kati
 
Mtani kuyaoga yeye ni sawa, si kuingiza mzazi. Mambo ya ushabiki kutukana wazazi si sawa. Hata matusi si sawa. Kuna maneno mengi ya kishabiki, unaweza yatoa na yakamuingia.
Ukianzisha vita usimchagulie adui silaha ya kutumia. Ameyataka mwenyewe
 
Nyie mnaotukana hadi wazazi wa mtu, mnakosea sana. Aliyeandika hapa ni mzazi wake?
Mambo ya ushabiki yasifike kutoa utu wa mtu, hata kama unatumia ID fake.
Kutukana siyo kwamba ujanja. Ni ukosefu wa heshima na akili.
Jibu hoja kwa ushabiki aliouandika si matusi.
Makolo ....ndicho walichobaki nacho
 
Masikini akipata makalio hulia mbwata.
Kipofu kaona mwezi......
Hivi maneno ya Haji ni kweli eee!!! Hawazidi wawili wengine wote weupeee🙆🙆🙆
Leo hebu Makolo wote njooni na umbumbumbu wenu tuambieni mkisema utopolo Hatuna akili Huwa mna hoja Gani? Makombe yote tunayo, mpira tunaujua tunaanzia mashambulizi Nyuma, derby ya kkoo Huwa tunawapiga kama Ngoma, ligi ya shirikisho tumeingia makundi, mfungaji Bora ligi kuu Mayele, Musonda Kawa wa moto sana, Feitoto mmeshindwa kumchukua! Kaze anahitajika Taifa Stars, Sasa nyie Makolo Mnatakaje?

Leo Yanga imejaza Taifa Stars na tumeshinda Uganda waliotunyanyasa miaka mingi je mlitaka tufungwe mumnange kocha Prof mwingine wa Taifa Stars baada ya Prof Nabi?

Kwa Kiwango Cha Leo Taifa Stars wachezaji wenu wote kina Kapoor (Kapombe) na Tshabalala wa kupigwa matobo na Azizi ki ndo tumewapoteza rasmi Taifa Stars. Hawatarudi kamwe kutufungisha!

Utopoloni tunajua Makolo imewauma sana wachezaji wenu kutoitwa Taifa Stars, na Bado hadi Makolo mhamie kushabikia Singapore Big Stars (Yanga B)

Mwaka huu Makolo maji mtaita mma!
 
Manara alikuwa sahihi, na bado yuko sahihi.

Hapo yanga ni mzee kikwete na Sunday manara tu.

Wengine woote plus mtoa post nati zilifyatuka kitambo
Yaaah Mkuu....lkn ndio waliofanya Leo tupate point 3
 
Nakupenda mtani wangu Bantu Lady .. ila huyu mwache tuu ayaoge my dear...huyu nyuzi zake huwa ni za kukera...
Ni kweli ya wazazi hayana afya ila ya kumchamba yeye wacha achambwe..
Sisi wengine tunapenda tension ....kama hizi
 
Back
Top Bottom