Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:

1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars

2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote Cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni

3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu.......lkn wananchi wametuokoa.... performance kali ya mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama msuva

NB: kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except manula
View attachment 2564127
kmmk
 
Vip na kule champions league mlipo ukalia ,Simba ndio waliwachelewesha?
 
Leo hebu Makolo wote njooni na umbumbumbu wenu tuambieni mkisema utopolo Hatuna akili Huwa mna hoja Gani? Makombe yote tunayo, mpira tunaujua tunaanzia mashambulizi Nyuma, derby ya kkoo Huwa tunawapiga kama Ngoma, ligi ya shirikisho tumeingia makundi, mfungaji Bora ligi kuu Mayele, Musonda Kawa wa moto sana, Feitoto mmeshindwa kumchukua! Kaze anahitajika Taifa Stars, Sasa nyie Makolo Mnatakaje?

Leo Yanga imejaza Taifa Stars na tumeshinda Uganda waliotunyanyasa miaka mingi je mlitaka tufungwe mumnange kocha Prof mwingine wa Taifa Stars baada ya Prof Nabi?

Kwa Kiwango Cha Leo Taifa Stars wachezaji wenu wote kina Kapoor (Kapombe) na Tshabalala wa kupigwa matobo na Azizi ki ndo tumewapoteza rasmi Taifa Stars. Hawatarudi kamwe kutufungisha!

Utopoloni tunajua Makolo imewauma sana wachezaji wenu kutoitwa Taifa Stars, na Bado hadi Makolo mhamie kushabikia Singapore Big Stars (Yanga B)

Mwaka huu Makolo maji mtaita mma!
Kuna mchambuzi flani hivi .....kasema kabisa Leo tunafingwa ....kisa zile taka taka hazijaitwa
 
Mzamiru aliupiga kwenda kwa uto ndo uto akampa Msuva...sifa ziende kwa Mzamiru 😆 😆 😆
 
Kuna watu wanapambana na ushoga lakini hata hawawajui wenye viashirio hivyo.Waongeze umakini.
 
Kabla sijasoma kabisa bandiko lako ngoja nikutukane kabisa aaah! Nimesahau tusi lenyewe
Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:

1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars

2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote Cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni

3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu.......lkn wananchi wametuokoa.... performance kali ya mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama msuva

NB: kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except manula
View attachment 2564127
 
Aandike ujinga asitukanwe? Acha hizo
Nyie mnaotukana hadi wazazi wa mtu, mnakosea sana. Aliyeandika hapa ni mzazi wake?
Mambo ya ushabiki yasifike kutoa utu wa mtu, hata kama unatumia ID fake.
Kutukana siyo kwamba ujanja. Ni ukosefu wa heshima na akili.
Jibu hoja kwa ushabiki aliouandika si matusi.
 
Leo hebu Makolo wote njooni na umbumbumbu wenu tuambieni mkisema utopolo Hatuna akili Huwa mna hoja Gani? Makombe yote tunayo, mpira tunaujua tunaanzia mashambulizi Nyuma, derby ya kkoo Huwa tunawapiga kama Ngoma, ligi ya shirikisho tumeingia makundi, mfungaji Bora ligi kuu Mayele, Musonda Kawa wa moto sana, Feitoto mmeshindwa kumchukua! Kaze anahitajika Taifa Stars, Sasa nyie Makolo Mnatakaje?

Leo Yanga imejaza Taifa Stars na tumeshinda Uganda waliotunyanyasa miaka mingi je mlitaka tufungwe mumnange kocha Prof mwingine wa Taifa Stars baada ya Prof Nabi?

Kwa Kiwango Cha Leo Taifa Stars wachezaji wenu wote kina Kapoor (Kapombe) na Tshabalala wa kupigwa matobo na Azizi ki ndo tumewapoteza rasmi Taifa Stars. Hawatarudi kamwe kutufungisha!

Utopoloni tunajua Makolo imewauma sana wachezaji wenu kutoitwa Taifa Stars, na Bado hadi Makolo mhamie kushabikia Singapore Big Stars (Yanga B)

Mwaka huu Makolo maji mtaita mma!
Mbuzi nyingine ni hii hapa
 
Back
Top Bottom