Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi naona...na hako ka avatar ni kama unatucheka yani..sichangii tena nyuzi zako...Sisi wengine tunapenda tension ....kama hizi
kmmkKama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:
1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars
2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote Cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni
3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu.......lkn wananchi wametuokoa.... performance kali ya mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama msuva
NB: kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except manula
View attachment 2564127
Hamna,asili kwny mpira,ww topolo...Msuva ni mwananchi .....wa kiasili
Kuna mchambuzi flani hivi .....kasema kabisa Leo tunafingwa ....kisa zile taka taka hazijaitwaLeo hebu Makolo wote njooni na umbumbumbu wenu tuambieni mkisema utopolo Hatuna akili Huwa mna hoja Gani? Makombe yote tunayo, mpira tunaujua tunaanzia mashambulizi Nyuma, derby ya kkoo Huwa tunawapiga kama Ngoma, ligi ya shirikisho tumeingia makundi, mfungaji Bora ligi kuu Mayele, Musonda Kawa wa moto sana, Feitoto mmeshindwa kumchukua! Kaze anahitajika Taifa Stars, Sasa nyie Makolo Mnatakaje?
Leo Yanga imejaza Taifa Stars na tumeshinda Uganda waliotunyanyasa miaka mingi je mlitaka tufungwe mumnange kocha Prof mwingine wa Taifa Stars baada ya Prof Nabi?
Kwa Kiwango Cha Leo Taifa Stars wachezaji wenu wote kina Kapoor (Kapombe) na Tshabalala wa kupigwa matobo na Azizi ki ndo tumewapoteza rasmi Taifa Stars. Hawatarudi kamwe kutufungisha!
Utopoloni tunajua Makolo imewauma sana wachezaji wenu kutoitwa Taifa Stars, na Bado hadi Makolo mhamie kushabikia Singapore Big Stars (Yanga B)
Mwaka huu Makolo maji mtaita mma!
Wao akina nani?Yaaah Mkuu....lkn ndio waliofanya Leo tupate point 3
Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:
1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars
2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote Cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni
3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu.......lkn wananchi wametuokoa.... performance kali ya mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama msuva
NB: kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except manula
View attachment 2564127
Mkuu unapotenda kinyume na ustaarabu usitarajie mrejesho mwema.Mtani kuyaoga yeye ni sawa, si kuingiza mzazi. Mambo ya ushabiki kutukana wazazi si sawa. Hata matusi si sawa. Kuna maneno mengi ya kishabiki, unaweza yatoa na yakamuingia.
Kama vipi hata ye usimpende maana anatetea hamnazo.Nakupenda mtani wangu Bantu Lady .. ila huyu mwache tuu ayaoge my dear...huyu nyuzi zake huwa ni za kukera...
Ni kweli ya wazazi hayana afya ila ya kumchamba yeye wacha achambwe..
Nyie mnaotukana hadi wazazi wa mtu, mnakosea sana. Aliyeandika hapa ni mzazi wake?
Mambo ya ushabiki yasifike kutoa utu wa mtu, hata kama unatumia ID fake.
Kutukana siyo kwamba ujanja. Ni ukosefu wa heshima na akili.
Jibu hoja kwa ushabiki aliouandika si matusi.
Mbuzi nyingine ni hii hapaLeo hebu Makolo wote njooni na umbumbumbu wenu tuambieni mkisema utopolo Hatuna akili Huwa mna hoja Gani? Makombe yote tunayo, mpira tunaujua tunaanzia mashambulizi Nyuma, derby ya kkoo Huwa tunawapiga kama Ngoma, ligi ya shirikisho tumeingia makundi, mfungaji Bora ligi kuu Mayele, Musonda Kawa wa moto sana, Feitoto mmeshindwa kumchukua! Kaze anahitajika Taifa Stars, Sasa nyie Makolo Mnatakaje?