Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Vp umecheki mpira??
Mwanzo mwisho,nmependa sana kiwango cha baka na mwamnyeto pia fundi kabisa job,kiwango bora sana kama siku zote,sijasahau ile pasi outer ya mzamiru kwenda kwa job na job akamwaga jalo safi kabisa kwa msuva.We umeona nini leo tupe uchambuzi wenye utondoti uliotukuka
 
Umesema ukweli mtoa Mada Mimi ni Yanga na kuna uzi nilisema beki za Yanga ndo zipangwe Taifa Stars sababu ukuta wao umeruhusu goli chache ligi kuu leo ukweli umedhihiri.

Pia nilisema Novatus asifanyiwe sub na imejibu pia!

Wachezaji wa Simba wanaofaa Taifa Stars ni Mzamiru na Kibu Denis tu maana timu ya Taifa wengine wote Huwa hawajitumi.

Kocha mpya mwarabu ameanza vizuri apewe muda hata five years Ili kina Sopu waje watuokoe maana Wana njaa ya kufunga!
Ile pasi aliyopiga mzamiru kwenda kwa Job,, unaizungumziaje? kiufupi, goli la Taifa limepitia kwemye miguuu mchanganyiko wa wachezaji (simba+yanga+msuva)
 
Unawezakuta wewe ni Baba wa familia na unategemewa wasijue ndani ya fuvu kumejaa mashudu tupu mpaka aibu naona mimi et hii nayo thread..
 
Unawezakuta wewe ni Baba wa familia na unategemewa wasijue ndani ya fuvu kumejaa mashudu tupu mpaka aibu naona mimi et hii nayo thread..
Najua hata wewe ume appreciate performance ya wachezaji wa yanga
 
Huyu Boya kweli..Manula amewafichia aibu mabeki wenu unakuja hapo kutamba..je Mzamiru wa kwenu eehh?!
 
Ile pasi aliyopiga mzamiru kwenda kwa Job,, unaizungumziaje? kiufupi, goli la Taifa limepitia kwemye miguuu mchanganyiko wa wachezaji (simba+yanga+msuva)
Hamna kitu kama hicho.......tunaangalia mfungaji na mtoa assist
 
Mwanzo mwisho,nmependa sana kiwango cha baka na mwamnyeto pia fundi kabisa job,kiwango bora sana kama siku zote,sijasahau ile pasi outer ya mzamiru kwenda kwa job na job akamwaga jalo safi kabisa kwa msuva.We umeona nini leo tupe uchambuzi wenye utondoti uliotukuka
Kiuchambuzi....

.kuhusu mdhamiru ilikuwa tu lazima acheze vizr ....coz alizungukwa na wachezaji mafundi kutoka Yanga

NB .....ukikaa karibu na uwaridi ,....lazima unukie
 
Unakuta mwanaume anaandaa mkaa gunia 2 kumchoma mke wake kwa makosa aliyotenda anaacha kutumia mkaa huo kuchoma watu km hawa
Bila Shaka mkuu......taifa limewaamini wananchi ...nao hawajawaangusha
 
Mzamiru aliupiga kwenda kwa uto ndo uto akampa Msuva...sifa ziende kwa Mzamiru [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kiufundi .....mzamiru aliingia kwenye mfumo + kuzungukwa na wachezaji wakali wa Yanga.. ndicho kilichosaidia
 
Ile pasi aliyopiga mzamiru kwenda kwa Job,, unaizungumziaje? kiufupi, goli la Taifa limepitia kwemye miguuu mchanganyiko wa wachezaji (simba+yanga+msuva)
Msuva ni Yanga damu!
Halafu Kuna fundi Mudathir naona hazungumziwi ila kafanya kazi kubwa pia!
 
Back
Top Bottom