Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Mwanzo mwisho,nmependa sana kiwango cha baka na mwamnyeto pia fundi kabisa job,kiwango bora sana kama siku zote,sijasahau ile pasi outer ya mzamiru kwenda kwa job na job akamwaga jalo safi kabisa kwa msuva.We umeona nini leo tupe uchambuzi wenye utondoti uliotukuka
Kocha anaonekana ndio mzuri mwingine unafiki tu.
 
Kiuchambuzi....

.kuhusu mdhamiru ilikuwa tu lazima acheze vizr ....coz alizungukwa na wachezaji mafundi kutoka Yanga

NB .....ukikaa karibu na uwaridi ,....lazima unukie
Sawa mkuu [emoji120]
 
Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:

1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars

2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote Cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni

3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu.......lkn wananchi wametuokoa.... performance kali ya mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama msuva

NB: kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except manula
View attachment 2564127
Manula alikuwa na kiwango kibovu Leo?
 
Ifahamike kwamba kuna shabiki na muumini. Mashabiki wanashabikia soka na waumini wanaabudu soka kupitia dini ya Club.
 
Mbuzi nyingine ni hii hapa
Mi ni mbuzi afadhali maana we ni nguruwe jike mwenye Mimba ya goli moja watoto 20 na mumeo ni mbwa toka iringa alietoroka kisu Cha mhehe,

nadhani hatuchekani maana tukikoswa kuchinjwa pasaka hii tunaliwa idd El fitr!

Ila we mwenzangu nguruwe sidhani kama utafika sikukuu na maza wako mama nguruwe maana weekend ishaingia wazee wa kitimoto Nina uhakika hawatakuacheni salama lazima mliwe kiboga!
 
Back
Top Bottom