Mto Kongo na Maajabu yake

,,,,CONGO INA NEEMA NYINGI SANA WANDUGU,,
AFRICA CJUI TUNAKWAMA WAPI,,,!!?

,,KAMA NI MAOMBI MBONA TUNAOMBA KILA CKU, MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA,,mwe wajameni,
Nani alikuambia maombi yana fanya kazi!?
Wizi mtupu!
 
,,,,CONGO INA NEEMA NYINGI SANA WANDUGU,,
AFRICA CJUI TUNAKWAMA WAPI,,,!!?

,,KAMA NI MAOMBI MBONA TUNAOMBA KILA CKU, MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA,,mwe wajameni,
Akili za viongozi wa Afrika zipo kwenye matumbo na hapo ndipo tunapokwama mkuu.
 
Kama ni mto wa pili kwa kupeleka kiasi kikubwa cha maji baharini duniani na mto wa tisa kwa ukubwa duniani iweje Nile iwe kubwa kuliko mto Kongo, je huo ukubwa unatazamwa katika sura ya upana au pamoja na kina chake?
Ahsante sana mkuu. Nilikuwa namaanisha urefu, Nile ni wakwanza na Kongo ni wapili. Lakini kwa upana Kongo ni wakwanza na Nile ni wapili mkuu.
 
Ahsante kwa elimu nzuri.
 
,,,,CONGO INA NEEMA NYINGI SANA WANDUGU,,
AFRICA CJUI TUNAKWAMA WAPI,,,!!?

,,KAMA NI MAOMBI MBONA TUNAOMBA KILA CKU, MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA,,mwe wajameni,
ADUI mkubwa wa Afrika ni sisi Wafrika mkuu. Mabeberu huwa wanatafuta Vibaraka na kupenyeza rupia. Wabeligiji na Wafaransa wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kuivuriga Congo. Achilia mbali Wizi mkubwa wa kutisha walioufanya huko.
Ukisoma Historia utaona ni jinsi gani Belgium na France zilivyokuwa zaidi ya Maharamia katika baadhi ya Nchi za Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…