Mto Kongo na Maajabu yake

Mto Kongo na Maajabu yake

,,,,CONGO INA NEEMA NYINGI SANA WANDUGU,,
AFRICA CJUI TUNAKWAMA WAPI,,,!!?

,,KAMA NI MAOMBI MBONA TUNAOMBA KILA CKU, MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA,,mwe wajameni,
Nani alikuambia maombi yana fanya kazi!?
Wizi mtupu!
 
,,,,CONGO INA NEEMA NYINGI SANA WANDUGU,,
AFRICA CJUI TUNAKWAMA WAPI,,,!!?

,,KAMA NI MAOMBI MBONA TUNAOMBA KILA CKU, MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA,,mwe wajameni,
Akili za viongozi wa Afrika zipo kwenye matumbo na hapo ndipo tunapokwama mkuu.
 
The mighty Congo,unafurika kiasi kwamba huwezi tumia kwa vyombo vya usafiri.View attachment 1016011

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tatizo la mito ya Africa wezetu mito yao wanaifuraiya Sana maana inapitisha mizigo kama bahari ukiona mito ya china inavyo fanya usafirishaji yakwetu utaiona haina maana!!
IMG_20181027_153549.jpg
 
Kama ni mto wa pili kwa kupeleka kiasi kikubwa cha maji baharini duniani na mto wa tisa kwa ukubwa duniani iweje Nile iwe kubwa kuliko mto Kongo, je huo ukubwa unatazamwa katika sura ya upana au pamoja na kina chake?
Ahsante sana mkuu. Nilikuwa namaanisha urefu, Nile ni wakwanza na Kongo ni wapili. Lakini kwa upana Kongo ni wakwanza na Nile ni wapili mkuu.
 
Ni nchi mbili tofauti Lily Tony .
DRC hii ni Democratic republic of Congo, na Congo Brazzaville ni nchi Jirani ijulikanayo pia kama "Republic of Congo". Wakati DRC wametawaliwa na ubelgiji, Congo Brazzaville wametawakiwa na Ufaransa, ila zote mbili ni waathirika wa tawala za m dikteta, ingawa kiuchumi DRC ipo hoi zaidi.
BTW Lily Tony wewe ni classmate nunaye kufahamu right? Au ni coincidence ya majina!!
Ahsante kwa elimu nzuri.
 
,,,,CONGO INA NEEMA NYINGI SANA WANDUGU,,
AFRICA CJUI TUNAKWAMA WAPI,,,!!?

,,KAMA NI MAOMBI MBONA TUNAOMBA KILA CKU, MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA,,mwe wajameni,
ADUI mkubwa wa Afrika ni sisi Wafrika mkuu. Mabeberu huwa wanatafuta Vibaraka na kupenyeza rupia. Wabeligiji na Wafaransa wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kuivuriga Congo. Achilia mbali Wizi mkubwa wa kutisha walioufanya huko.
Ukisoma Historia utaona ni jinsi gani Belgium na France zilivyokuwa zaidi ya Maharamia katika baadhi ya Nchi za Afrika.
 
Back
Top Bottom