Mto Kongo na Maajabu yake

Daaah nashauku nikauone tatizo wahasi awata niacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mto ni mkubwa sana mkuu, na kwa sababu unapita katika nchi mbili DRC na Congo-Brazzaville basi unaweza pia ukautalii kwa kupitia nchi ya Congo-Brazzaville ambayo hali ya kisiasa ipo vizuri ukilinganisha na Democratic Republic of Congo.
 
1.denis sassou nguesso(congo brazaville)
2.tshisekedi(congo kinshasa)
 
Kama ni mto wa pili kwa kupeleka kiasi kikubwa cha maji baharini duniani na mto wa tisa kwa ukubwa duniani iweje Nile iwe kubwa kuliko mto Kongo, je huo ukubwa unatazamwa katika sura ya upana au pamoja na kina chake?
Nile ni urefu, ila kwa upana hauwez fikia mto kongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…