Palyang'ei
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 294
- 194
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilitaka kuuliza the same qn mkuu,asnt ,Naomba ukijibiwa unitag plsHebu nisaidieni swali hili jamani Congo DRC ni tofauti na Congo Brazzaville??? Na maraisi wao ni tofauti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mto una matumizi mengine mengi tu zaidi ya usafiri,mfano umwagiliaji,uvuvi,ufuaji wa umeme nk...
Ndio mkuu, ni nchi mbili tofauti na zina watawala tofauti, Congo ya kinshasa ni maarufu kidogo kuliko ile ya pili nadhani umaarufu wao unatokana ni vile unavyotaka, wengine lile vumbi la kusimamisha mambo yetu, waasi, muziki hahahaa sipo serious sana maana nipo Canada ile kitu imeruhusiwa hukuHebu nisaidieni swali hili jamani Congo DRC ni tofauti na Congo Brazzaville??? Na maraisi wao ni tofauti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mjadala wa Lissu na Masilingi. Kuna muda Masilingi alichangia bila kuelewa hojaHapo No 6 ndio pekee nakataa mana huyo Mzungu alikuta watu hapo wakiishi ...Tofauti tu hawakuwa Wazungu
Alikuwa MZUNGU wa kwanza kutoka ULAYA, soma vizuri hapo juu, SI MVUMBUZI, Waafrika walikuwepo hapo.
Hapo No 6 ndio pekee nakataa mana huyo Mzungu alikuta watu hapo wakiishi ...Tofauti tu hawakuwa Wazungu
nilitaka kuuliza the same qn mkuu,asnt ,Naomba ukijibiwa unitag pls
Acha uvivu tafuta ramani ya Africa hizo ni nchi mbili tofauti, drc mji mkuu ni Kinshasa na jamhuri ya kongo ni BrazzavilleHebu nisaidieni swali hili jamani Congo DRC ni tofauti na Congo Brazzaville??? Na maraisi wao ni tofauti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante,kwa ufafanuzi na maelezo mazuri mkuu! Hahaha! sina uhakika kama ni mimi au majina yamefanana.Classmate wa shule/chuo gn boss?Ni nchi mbili tofauti Lily Tony .
DRC hii ni Democratic republic of Congo, na Congo Brazzaville ni nchi Jirani ijulikanayo pia kama "Republic of Congo". Wakati DRC wametawaliwa na ubelgiji, Congo Brazzaville wametawakiwa na Ufaransa, ila zote mbili ni waathirika wa tawala za m dikteta, ingawa kiuchumi DRC ipo hoi zaidi.
BTW Lily Tony wewe ni classmate nunaye kufahamu right? Au ni coincidence ya majina!!
Hahaha hadi hapo majina yatakua yamefanana tu mkuu, maana huyo classmate tunafahamiana haswa nikajua kajiunga Jf. Mchana mwemaAsante,kwa ufafanuzi na maelezo mazuri mkuu! Hahaha! sina uhakika kama ni mimi au majina yamefanana.Classmate wa shule/chuo gn boss?
Hata cha mkongo kinapatikana hukoMTO KONGO
Afrika ni moja kati ya mabara ambalo limebarikiwa sana kuwa na vivutio vya aina mbalimbali. Moja kati ya vivutio hivyo ni Mto Kongo. Mto Kongo ni mto wa pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya Mto Nile, lakini pia ni mto wa tisa kwa ukubwa duniani. Vyanzo vikuu vya Mto Kongo ni Milima na Nyanda za Juu za Bonde la Ufa la Afrika Mashariki (East Africa Rift Valley), Ziwa Tanganyika (Lake Tanganyika) na Ziwa Mweru (ndio chanzo cha mto Lualaba).
![]()
MAAJABU YA MTO KONGO
- Mto wa pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya Mto Nile (Nile River).
- Mto wa pili duniani kwa kupeleka kiasi kikubwa cha maji baharini baada ya Mto Amazon wa Amerika ya Kusini (South America).
- Mto Kongo ndio mto wenye kina kirefu zaidi duniani, unakadiriwa kuwa na kina zaidi ya 230 mita.
- Jina la Mto limetokana na ufalme wa Kongo (Ancient Congo Kingdom) wa hapo zamani, ufalme huo ulikuwepo maeneo ya karibu kuzunguka mdomo wa mto Kongo.
- Mitambo ya kuzalisha nishati ya umeme (Hydroelectric plants) inakidiriwa siyo chini ya 40 ndani Mto Kongo ni mto ambao maji yake yananguvu sana kiasi kwamba unauwezo wa kutoa na kukidhi mahitaji ya umeme katika nchi zote za kusini mwa Jangwa la Sahara (Sub-Saharan Africa).
- Katika mwaka 1482 Diego Cao ndio alikuwa Mzungu wa kwanza kutoka Ulaya kufika na kujionea Mto Kongo.
- Mto Kongo unakatisha katika mstari wa Ikweta (Equator) mara mbili.
- Nchi mbili za Afrika majina yake yametokana na uwepo wa Mto Kongo, ambazo ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Democratic Republic of Congo) na Jamhuri ya Kongo (The Republic of the Congo).
- Jina la Mto lilibadilishwa kutoka Mto Zaire na kuitwa Mto Kongo mwaka 1997 baada ya Nchi ya Zaire kubadilisha jina lake na kujiita Jamhuru ya Kidemokrasia ya Kongo (Democratic Republic of Congo). The State of Zaire (1971-1997) ilipewa jina kutokana na Mto Zaire ambao hivi sasa unaitwa Mto Kongo baada ya kubadilishwa jina mwaka 1997.
- Unakadiriwa kuwa na visiwa vidogo vidogo zaida ya 4000 huku 50 kati ya hivyo vinakidiriwa kuwa na ukubwa zaidi ya (miles) 10 urefu.
![]()
View attachment 1015993
- Vyanzo (Sources) [emoji117] Lake Tanganyika, Lake Mweru and Highlands and Mountains of East African Rift Valley.
- Urefu (Length) [emoji117] 4700 km
- Bonde (Basin Cover) [emoji117] 4,014,500 km square.
- Mdomo wa Mto (River Mouth) [emoji117] Atlantic Ocean
Masilingi mzee wa true na falseUmenikumbusha mjadala wa Lissu na Masilingi. Kuna muda Masilingi alichangia bila kuelewa hoja
Kwa sababu ni historia nimenyoosha mikono juu.Alikuwa MZUNGU wa kwanza kutoka ULAYA, soma vizuri hapo juu, SI MVUMBUZI, Waafrika walikuwepo hapo.