Mto Mwame wafunga barabara

Madukwaa

Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
17
Reaction score
14
Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika kuzungukia inonelwa, mwamashimba hadi hungumalwa ndipo waweze kufika Mwanza mjini.

Ukiachia mbali na hilo kuna taarifa za watu kufa maji wakati wakijaribu kuvuka darajani hapo, kusombwa na maji.


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
BALABALA!
 
Tafsiri kutoka kisukuma kwenda kiswahili ili nielewe mimi mkonongo.
 
Serikali ifanyajee hapo mkuu Ili mto upungue maji .

Tuansubiri maoni Yako km serikali..
 
Kapicha kidogo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…