Madukwaa
Member
- Nov 13, 2023
- 17
- 14
Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika kuzungukia inonelwa, mwamashimba hadi hungumalwa ndipo waweze kufika Mwanza mjini.
Ukiachia mbali na hilo kuna taarifa za watu kufa maji wakati wakijaribu kuvuka darajani hapo, kusombwa na maji.
Ukiachia mbali na hilo kuna taarifa za watu kufa maji wakati wakijaribu kuvuka darajani hapo, kusombwa na maji.