Mto Mwame wafunga barabara

Mto Mwame wafunga barabara

Madukwaa

Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
17
Reaction score
14
Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika kuzungukia inonelwa, mwamashimba hadi hungumalwa ndipo waweze kufika Mwanza mjini.

Ukiachia mbali na hilo kuna taarifa za watu kufa maji wakati wakijaribu kuvuka darajani hapo, kusombwa na maji.

Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika kuzungukia inonelwa, mwamashimba hadi hungumalwa ndipo waweze kufika Mwanza mjini..

BALABALA!
 
Tafsiri kutoka kisukuma kwenda kiswahili ili nielewe mimi mkonongo.
 
Serikali ifanyajee hapo mkuu Ili mto upungue maji .

Tuansubiri maoni Yako km serikali..
 
Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika kuzungukia inonelwa, mwamashimba hadi hungumalwa ndipo waweze kufika Mwanza mjini.

Ukiachia mbali na hilo kuna taarifa za watu kufa maji wakati wakijaribu kuvuka darajani hapo, kusombwa na maji.
Kapicha kidogo.....
 
Back
Top Bottom