Dennis Robert Shughuru JF-Expert Member Joined May 30, 2024 Posts 5,559 Reaction score 8,747 May 12, 2026 #1 Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana Litazalisha umeme Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni, bagamoyo na mkoa wa dar es salaam Maji yatatumika kwenye zone ya viwanda ambayo itajengwa bagamoyo Itakuwa ni rahisi kufanya kilimo cha umwagiliaji Soma Pia: Kama Mto Wami ukijengewa bwawa kubwa la Maji,Dar haiwezikujitosheleza kwa maji? Kama nchi ni muda wa kuchangamkia hii fursa ya bonde la mto wami
Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana Litazalisha umeme Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni, bagamoyo na mkoa wa dar es salaam Maji yatatumika kwenye zone ya viwanda ambayo itajengwa bagamoyo Itakuwa ni rahisi kufanya kilimo cha umwagiliaji Soma Pia: Kama Mto Wami ukijengewa bwawa kubwa la Maji,Dar haiwezikujitosheleza kwa maji? Kama nchi ni muda wa kuchangamkia hii fursa ya bonde la mto wami
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,518 Reaction score 20,492 May 12, 2026 #2 Ungependekeza na eneo litakapojengwa basi!