Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Serikali ya kiongozi mkali, mkorofi, anaewatisha kwanza mumuogope. Anaependa watu wasikooe Wala kumuuliza swali Ina walakini. Hata akikwapua mabilioni mtalazimika kumpigia makofi..anaweza akaenda benki na begi na akamuamuru meneja jaza Hela humu !! Na meneja akazishindilia kabisa.
Serikali corrupt ni mali ya mtu bali Serikali ya watu huwasikiliza watu. Uongozi bora sio uchumi wala miundombinu ni kuwasikiliza watu. Mto wenye mamba hauwazuii wavuvi kupata kitoweo bali huwaongezea ujasiri wa kuchota samaki wengi zaidi