China kunyongwa au kupigwa risasi,ni jambo la kawaida kwa wala rushwa na wabadhilifu wa mali za umma,huku kwetu eti huyu anakwambia 'mkaliangalie na hilo',wewe unaona wapi ambako watu watakua majasiri kutafuna pesa za umma?
'Najua kua mnakula,ila kuleni msivimbiwe':unapenda kauli kama hizo the fauti na anayesema 'mkizila hizo hela mtazitolea popote' sindiyo mleta mada?