MTOA ZAWADI ANAPOKUWA KIVUTIO KULIKO MPOKEA ZAWADI NA HATA ZAWADI YENYEWE

yE mwenyewe karidhika kajiona kapendezaaaa katoka kwake eti anaenda kazini..Acha watu tudhaminishe Mi mama ya siku hizi haijiheshimu alafu inataka iheshimiwe..Mimi naipaga "Mambo" "poa" shkamoo sku hz mpk ukidhi vigezo ndio Ntakupa..Hueleweki nakupita hata Bila salamu "niseme utakavyo"
 
alafu huyo sio mmama kama baadhi ya wadau wanavyosema ni mdada tu... mtangazaji wa clouds tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipi ulichotaka kuaminishwa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwa kawaida hata ww ukikaa na mtoto wa kike yeyote hapo mtoto wa kike ndio atakuwa ni kivutio au ww umeelewa vipi hii post

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa kivutio kwa wanaume nami nitakuwa kivutio kwa madem kwa hiyo hakuna cha ajabu kila mmoja apambane na hali yake bila kugusa ya mwingine [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…