MTOA ZAWADI ANAPOKUWA KIVUTIO KULIKO MPOKEA ZAWADI NA HATA ZAWADI YENYEWE

MTOA ZAWADI ANAPOKUWA KIVUTIO KULIKO MPOKEA ZAWADI NA HATA ZAWADI YENYEWE

Huyo ni mnene tu hana hicho unachotaka kutuaminisha # hivi umeshawahi kumuona au kuona picha za sanchi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo unayemsema kila mtu anamjua... tatizo siye anayetoa zawadi..

hapo zawadi inatolewa na baby kabaye ambaye kwa vyovyote vile ni kivutio kuliko meddy kagere
IMG_20190320_161356_610.JPG
IMG_20190320_161343_557.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yE mwenyewe karidhika kajiona kapendezaaaa katoka kwake eti anaenda kazini..Acha watu tudhaminishe Mi mama ya siku hizi haijiheshimu alafu inataka iheshimiwe..Mimi naipaga "Mambo" "poa" shkamoo sku hz mpk ukidhi vigezo ndio Ntakupa..Hueleweki nakupita hata Bila salamu "niseme utakavyo"
 
alafu huyo sio mmama kama baadhi ya wadau wanavyosema ni mdada tu... mtangazaji wa clouds tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipi ulichotaka kuaminishwa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwa kawaida hata ww ukikaa na mtoto wa kike yeyote hapo mtoto wa kike ndio atakuwa ni kivutio au ww umeelewa vipi hii post

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa kivutio kwa wanaume nami nitakuwa kivutio kwa madem kwa hiyo hakuna cha ajabu kila mmoja apambane na hali yake bila kugusa ya mwingine [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom