Mtoni kwa Kindande- Singapore ndogo

wale wa mbagala tunaanza kujitetea na mbagala yetu

kumbe ishaanza kuwa kama singapore bana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukitoa dubai miji ya kiarabu imekaa kienyeji sana pmj na kutumika gharama kubwa kuitengeneza

Ila ukienda kwa mabwenyenye kuna teste fulani kila nyumba inapendeza si vijijini si mjini
 
Mtoni kwa Kindande, Kuanzia majengo, barabara, Usalama, wakazi na biashara zinaakisi Singapore
Wewe unaijua Singapore wacha ujinga huo ww umefika singapore kuna sehemu inaitwa Santosa umefika kama hujafika wacha ujinga wako.
 
Ukitoa dubai miji ya kiarabu imekaa kienyeji sana pmj na kutumika gharama kubwa kuitengeneza

Ila ukienda kwa mabwenyenye kuna teste fulani kila nyumba inapendeza si vijijini si mjini
We jamaa nakuzoom tu unaijua Qatar? Walikufanya nn mbona una chuki nao na wwe hata maendeleo huna maskini ya mungu.

Picha ni Singapore hapo chini
 
Attachments

  • 1662705774440.jpg
    130.8 KB · Views: 15
Nachopendea mtoni na TmK huwezi kuta masela wanavuliwa ubingwa Kama kule arusha
 
Ukitoa dubai miji ya kiarabu imekaa kienyeji sana pmj na kutumika gharama kubwa kuitengeneza

Ila ukienda kwa mabwenyenye kuna teste fulani kila nyumba inapendeza si vijijini si mjini
Sungura alipozikosa zabibu alisema 'sizitaki mbichi hizi'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…