Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaijua Singapore wacha ujinga huo ww umefika singapore kuna sehemu inaitwa Santosa umefika kama hujafika wacha ujinga wako.Mtoni kwa Kindande, Kuanzia majengo, barabara, Usalama, wakazi na biashara zinaakisi Singapore
We jamaa nakuzoom tu unaijua Qatar? Walikufanya nn mbona una chuki nao na wwe hata maendeleo huna maskini ya mungu.Ukitoa dubai miji ya kiarabu imekaa kienyeji sana pmj na kutumika gharama kubwa kuitengeneza
Ila ukienda kwa mabwenyenye kuna teste fulani kila nyumba inapendeza si vijijini si mjini
watu wanaishi kama wako peponi vile qmmmmq daaahWe jamaa nakuzoom tu unaijua Qatar? Walikufanya nn mbona una chuki nao na wwe hata maendeleo huna maskini ya mungu.
Picha ni Singapore hapo chini
Sungura alipozikosa zabibu alisema 'sizitaki mbichi hizi'Ukitoa dubai miji ya kiarabu imekaa kienyeji sana pmj na kutumika gharama kubwa kuitengeneza
Ila ukienda kwa mabwenyenye kuna teste fulani kila nyumba inapendeza si vijijini si mjini
Kweli kabisa.....Nachopendea mtoni na TmK huwezi kuta masela wanavuliwa ubingwa Kama kule arusha
AiseeAhsante kwa taarifa...
😁 😁 😁 😁 😁Hii bhang ya leo Kali sana,najiona nipo Dubai.