Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo.

Soma Pia: Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba

Chanzo: Azam TV
Maleziii maleziii maleziii
Asilimia kubwa ya watu wanaofanya matukio kama haya walipata malezi mabovu kipindi cha ukuaji wao
RIP Mtoto
Huyo akishikwa atuna msaada nae sisi walimwengu
 
Back
Top Bottom