Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

Katoto ka darasa la 4 🥺🥺, sasa mtu unapata starehe gani, haya ni matatizo sijui ya akili, kutizama x ama ushirikina.
X haziusiani na hiyo kitu, hili swala liangaliwe kwa mtazamo mwingine kabisa. mkoani Mwanza mauaji yalikuwa yamezidi, lakini baada ya Kamanda wa Polisi mkoa huo kufanya msako wa waganga wa jadi na kufanikiwa kuwakamata wengi atleast mauaji yamepungua.
 
RIP,
ILA 5 YEARS, si mtoto anayehutaji uangalizi mkubwa sana kutoka kwa wazazi, Watanzania wengi mnafeli hapa. 5 years si ya school bus tu, si ya kumtuma mtoto aende shule mwwenyewe wala gengeni,.
Failure ya kwanza ni ya wazazi, kuishi kwa mazoea. Hatupo kwenye nchi yenye security kiasi hicho.
Hii mmm au boni yai wakiona watasema mama samiah, mbwa wale.
 
Uchaguzi huu Ccm watatumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…