DOKEZO Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama tunaowapa dhamana ya kutulelea na kutukuzia watoto wetu Kitaaluma wanafanya hayo basi tuna hali mbaya Kwa kweli kama Taifa

Halafu huyo Mwalimu ameshindwa kabisa kuwatongoza hata Walimu wenzake wakike hapo shuleni hadi kufanya huo ufedhuli?
 
Tayari nimewasiliana na Bibi wa mtoto, taarifa nimefikisha mahala stahiki kwa waziri mwenzangu wa mambo ya ndani Ili aanzie pale hatua zilipoishia.

Ahsanteni sana jamii kwa kuendelea kuibua matukio yenye changamoto, kikubwa tuimarishe ulinzi wa watoto kwa kuwa karibu nao kwa elimisha kuhusu ubaya wa Dunia na tahadhari, kuwahoji habari za walikotoka na kuwakagua hawa wadogo.

Tuendelee kushirikiana [emoji1666][emoji120]
 
Kuna jambo nitakuandikia ktk page ya wizara yako, siku nikitulia, au nitakutumia text kwa no ako.
 
Nna swali
Uko tayari?
Ikitokea huyu tulienae akatangulia kama yule 2025 utachukua fomu ya kugombea
 
Sasa kufirimba kitoto seriously? Kufirimba Mwanamke tu naona kinyaa leo mtu ana firimba kitoto
 
sema wote tumegeuka ma hakimu na kumuhukumu mwalimu bila hata kuona ina faa uchunguzi ufanyike na muhusika apatikane na afahamike

unaweza kuta muhusika yuko kwenye familia ila mwalimu imma ana angushiwa jumba bovu
 
Neno pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…