DOKEZO Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi wanawake wote Hawa wenye mikundu mikubwa hawaoni anafuata vitoto vya kiume vya miaka sita na kuvihonga biskut za Mia 2 na juisi ya Mo ya miatatu.
Mimi nasema MTU Kama huyu naweza kumchoma kisu kwenye moyo na kuwaachia majaji wafanye kazi Yao.
Mungu aniepushe na watu Kama Hawa.
 
Starà inatakiwa washemimu mama zetu na dada zetu.
 
Now days mtoto wa kiume analindwa zaidi ya wa kike.
Tuwapeleke wapi watoto wetu wawe salama jamani, mtaani hapafai, shuleni hapafai, nyumbani hapafai daaah
Nimesikitishwa sana na hiko kitendo but Allah atajaalia haki itapatikana hata kama itachelewa.
Shule z boarding hakufai tena hata kukiwa kwa boys tupu. Maana wengine washaanza na wataqnza kugusanishagusanisha
 
Wakati nina miaka kati ya 5 hadi 8 nilikuwa nalala na anko devi. Huyu jamaa alikuwa ameshafikisha kayi ya 17 au 19 to 20s. Sina kumbukumbubalikuwa akitumia lugha ipi kuniambia. Ninachokumbuka ji mb....o ya anko ilikuwa nikiishika ni kubwa hiyo kumbukumbu pekee. Kilichoniponesha ni jamaa alikuwa nahofu hajawahi ipenyeza kwenye kinyeo aliishia kuninajisi na shawaha.

Muda huu nawaza nimsamehe au nimfanyie tukio baya
 
Nadhani wengi wa wakubwa zetu walikuwa na tabia hizi nakumbuka nilikuwa nalazwa chini nyuma ya nyumba jamaa akitaka kunifilix watu ndio hutuona na kukemea you can't believe this was 1980s.

Na nadhani primary school ndiko hqyq mambo yapo watoto hawana akili pevu bado.hufanyiwa na waliowazidi.

Haya yametukuta wengi. Siamini kama kuna mtu aliishataka kunifilq in 50yrs back
 
Mmh nili pitisha bhana sema tu ume sahau .
 
Wewe mwenyewe uncle ndiye ulikuwa unanifanyia mautundu yako!
 
Shukran na ubarikiwe sana mhe waziri. Mungu atakulipa kwa huruma wako na huduma zako kwa sisi watanzania wenzako 🙏
 
Hizi kesi zimekuwa nyingi sana huko na Polisi wakipewa laki 1 moja wanaizima kesi kama taa! Mkuu wa kituo anakuambia huna ushaihidi anagaka mpaka Mtoto alielawitiwa akutwe na shahawa sehemu husika.
 
Tunashukuru sana kwa utendaji kazi uliotukuka. Lakini ili kupunguza haya matukio nina maombi kadhaa kwako kama waziri na kama mzazi:-
1. Ifike mahali sasa mmiliki wa shule na wakuu wa shule yanapotokea haya matukio itafutwe njia ya kuwawajibisha kutokana na tabia zao za kuficha matukio kama haya ili kuficha maovu ya wafanyakazi wao machoni kwa jamii. Haiwezekani mtoto afanyiwe vitendo hivyo muda mrefu halafu mkuu wa shule na walimu wote hawajui. Hata mlinzi na mpishi wa hiyo shule wasijue kweli nini kinaendela? Ina maana shule nzima hakuna mzazi ni vijana watupu kiasi hawaoni hata huyo mtoto ana hali isiyo ya kawaida kimwili na kiakili?. Maana yake shule ya namna hiyo haina utaratibu mzuri wa kutoa taarifa na haina mawalimu/mfanyakazi aliyeandaliwa kuwasikiliza watoto na hata watoto wenyewe kumuona kama mkombozi/mzazi wao hata wanapoonewa na wenzao.
2. Shule zote sasa zilazimishwe ziwe na walimu/wafanyakazi maalum wa kuwasikiliza wanafunzi. Na awe tabia zote za mzazi/rafiki mwenye upendo kiasi awe kimbilio na wanafunzi wote.
3. Hao POLISI wa kituo cha gogoni nao wawajibishwe kwa kumkwamisha huyo mama. Inaonekana wameshachukua rushwa hao. Mwombe waziri mwenzako wa mambo ya ndani awawjibishe ili iwe mfano wa polisi wengine wanaowalinda waovu kama wanavyomlinda mwalimu Imma maana kila tukio la namna hiyo likitokea imekuwa ni kawaida sasa mpaka viongozi wa juu waingilie kati ndio polisi wanachukua hatua stahiki. Kwa nini iwe hivyo kila wakati? Hatukatai kuna polisi wachache waadilifu ambao wanachukua hatua mapema jambo kama hili likitokea hao wapongezwe.
4. Huyo daktari wa hospitali ya Kimara atafutwe apewe motisha kidogo kwa kutambua mchango wake hata kama ni kupewa barua tu ya kutambua alichokifanya inatosha kwani ametimiza wajibu kwa uadilifu mkubwa.
5. Ikitokea shule moja yametokea matukio kama hayo mawili mfululizo iwe inapewa adhabu ya kufungiwa kwa miaka kadhaa ili wamiliki wawajibike kufanya "vetting" ya walimu na wafanyakai kabla ya kuwaajiri na kuwafutilia baada ya kuwaajiri. Ikiwa hivyo lazima wamiliki watatengeneza tu "mechanism" ya kuwabaini walimu/wafanyakazi waovu. Japo sio mwarobaini lakini itapunguza sana haya matukio.

Ni mtizamo tu.
 
Maoni yako mazuri, shukrani. Tutayajumuisha kwenye mipango na utekelezaji wetu kuboresha mnyororo wa mfumo. Tunathamini maoni ya wafuatiliaji wa masuala ya kijamii. Ubarikiwe

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika vema uchunguzi wa kina sana usio na hasira Wala msukumo ufanyike
Pia kama mtoto sio wako epuka kumpa zawadi na kuweka ukaribu dunia imebadirika
 
Taarifa za matukio ya namna hii zimekuwa nyingi sana siku hizi.Hivi ni kweli kwamba matukio yote hayo yanayoripotiwa kila wakati ni ya kweli au ni ya kutengenezwa ili kuwaharibia watu Fulani Fulani???????? Nafikiri tahadhari kubwa zaidi inapaswa kuchukuliwa na kila mtu kwenye matukio kama haya.
 
Dah.

Pole sana
 
Kweli kabisa haya mambo yapo na nilishashuhudia mtu kasingiziwa kesi makusudi hadi leo jamaa hakai karibu na watoto ameshaathirika kisaikolojia kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…