DOKEZO Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwambie Kwa Uwazi Kuwa Unakumbuka Mabaya aliyokuwa anakufanyia. Akijuta na akiomba Msamaha Msamehe.

Lakini baada ya hapo Chukua TAHADHARI kwani atahisi unamuwinda. Hivyo kumbuka Mwinda Huwindwa.

Option 2 unaweza kujieleza kwa Mamlaka Kesi Ikatajwa kama wale wanaojitokeza Sasa kuwashitaki kina Pdidy Ili Haki Itendeke.
 
Jinai haifi kumbukeni hilo!!
 
sema wote tumegeuka ma hakimu na kumuhukumu mwalimu bila hata kuona ina faa uchunguzi ufanyike na muhusika apatikane na afahamike

unaweza kuta muhusika yuko kwenye familia ila mwalimu imma ana angushiwa jumba bovu
Hakika kabisaa,
 
Ualimu ni kazi ya laana kilasiku nawambia, ni kazi ambayo ukiingia na akili zako timamu utatoka ukiwa kichaa, haina tofauti na ile kazi ya boda boda .na yenyewe ni mkondo huo huo na kazi ya uaskari .lazima uwe na tu element twa ukichaa ndo utwwza kuafnya kazi hizi
 
Kweli kabisa haya mambo yapo na nilishashuhudia mtu kasingiziwa kesi makusudi hadi leo jamaa hakai karibu na watoto ameshaathirika kisaikolojia kabisa..
Nimesha shuhudia case km 2, na nilijitoa ktk kuhakiki kile kilichojitokeza, kumbe ni uongo na kutaka kuumizana na kuua future ya mtu, km kisasi kwa jambo fulani.

Lazima ukweli tuuseme.
 
Ofcoz kama unataka kumjua mwl iemma nenda insta search for "emma de boy "
Utamuona na watz wameshajaa huko wanamshushiia matusi
 
Roho inaniuma sana...mungu atusaidie kuirudisha hata ile dunia na ulimwengu wa mwanzo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…