Tetesi: Mtoto afanyiwa mbaya kisiwan Pemba

Tetesi: Mtoto afanyiwa mbaya kisiwan Pemba

Mauja

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
508
Reaction score
275
WAMLAWITI MTOTO MDOGO
MPAKA KUTOKA MAFUNZA-PEMBA

Jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba
linawashikilia vijana watatu wakaazi wa
machomane wilaya ya chakechake kwa tuhuma za kumlawiti mtoto mdogo wa kiume (6) na kumsababishia maumivu makali katika sehemu zake za siri.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa kusini Pemba RPC Shehan Mohd Shehan alisema tukio hilo walilipokea juzi tarehe
16 na 17 mwezi 11 mwaka 2017

Ambapo katika tarehe na siku zisizojuulikana vijana hao walikua
na tabia ya kumchukua mtoto huyo na kwenda kumlawiti.

Alisema uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa tendo hilo chafu walishamfanyia zaidi ya mara
moja na mpaka inaripotiwa kesi hiyo mtoto huyo alishaharibika katika sehemu zake za siri kwa
kuanza kutokwa na mafunza.

Kamanda Shehan aliwataja watuhumiwa wa tukio hilo kuwa ni Khamis Salum Abdalla miaka (18) , Shaibu Malik Nasib (18) na
mwengine ni kijana mwenye umri wa miaka (17)
wote ni wakaazi wa Machomane.
“kwapamoja vijana hawa wanatuhumiwa kwa
kumlawiti mtoto huyu na kumuharibu sehemu
zake za siri” alisema kamanda huyo.
Katika hali ya kushangaza kamanda
alisema , mara baada ya mtoto huyo kuanza kuumia na kutokwa na mafunza katika sehemu zake za siri mama mzazi wa mtoto huyo ambae jina lake limehifadhiwa alikua akimtibu mtoto
wake kwa mafuta moto lakini hali ya mtoto haikuimarika na ndipo walipolazimika kumpeleka
katika hospitali ya chakechake na huko ndipo tukio hilo lilipogundulika.
Shehan alisema , baada ya familia ya mtoto huyo kugundua kuwa mtoto wao ameharibiwa
hawakuwa tayari kutoa tarifa katika kituo cha polisi
na badala yake walikwenda nae katika hospitali binafsi, pasi na kutaka PF3 kituo hicho kilimtibu ,

Jambo ambalo amesema ni kosa kisheria kumtibu mtu kwa majiraha kama hayo. familia inaonekana hawakutaka jambo hili lijuulikane lakini pia nakilaumu sana kituo cha afya binafsi kwakutoa matibubu kwani sheria
zinajuulikana, majeraha makubwa kama haya
huwezi kuyatibu bila ya kupata PF3
CHANZO: PEMBA TODAY
 
Nasikia hayo Mapemba yalifukuzwa na muziki wao kule Kenya maana yalienda kwenye show halafu yakaanza kucheza jukwaani kiulawiti lawiti.
 
Hao kifungo cha miaka 30 au kifungo cha maisha kinawahusu.
Ni ukatili sana. Siku hizi huduma za K na Tigo zinatolewa kila mahali iweje wamtendee mtoto mdogo km huyo? Km wanashida na tigo wapo washenzy km hao wanaotoa huduma.
Hao wa kupigwa mawe mpaka kufa.
Shubamiti
 
inauma sana.! sijui kwanini baadhi ya watu huyafumbia macho?!!
Jwa mfano wiki iliyopita nilisikia wananchi wa eneo la bahi road Dodoma wakisema "WATOTO WA DARASA LA KWANZA HADI LA TATU WA SHULE YA MSINGI KALOLENI WANALAWITIANA KATIKA VYOO VYA SHULE" Nilibuywa kuwauliza je taarifa hizi walimu na wazazi wao wanajua? Jibu likawa "
NDO WAMEITWA SHULENI KUZUNGUMZIA HILO..
WITO: WAZAZI TUWE NA UTARATIBU WA KUWAFUATILIA WATOTO WETU KWA UKARIBU
 
Hao kifungo cha miaka 30 au kifungo cha maisha kinawahusu.
Ni ukatili sana. Siku hizi huduma za K na Tigo zinatolewa kila mahali iweje wamtendee mtoto mdogo km huyo? Km wanashida na tigo wapo washenzy km hao wanaotoa huduma.
Hao wa kupigwa mawe mpaka kufa.
Shubamiti
Hao sio miaka 30, hao kwanza ni kuwapasua nyanya zao na kuvunja vindude vyao kisha wawekwe jela maisha yao yote na wao wakageuzwe waone raha yake.

Kwann wasigeuzane wenyewe kwa wenyewe mpka mtoto wa miaka 6!!! nimeumia sana yaan natamani ningekua nimeipokea kesi kama hiyo mezani kwangu wangejuta Manina zao.
 
Back
Top Bottom