Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Kama ni mataputapu, ina maana wamelewa kwa miaka 10?Ni mambo ya ushirikina au kuendekeza mambo ya vilabuni katika pombe za kienyeji. Si ajabu wote ni wapiga mataputapu wazuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mataputapu, ina maana wamelewa kwa miaka 10?Ni mambo ya ushirikina au kuendekeza mambo ya vilabuni katika pombe za kienyeji. Si ajabu wote ni wapiga mataputapu wazuri.
Theory ya Freud katika ukuaji wa watoto kisaikolojia, wanaita 'Oedipus complex' kwa watoto wa kiume na/au 'electra complex' (hii iliendelezwa na mwanasaikolojia mwingine) kwa watoto wa kike wanapotaman kuwa na baba zao!
Na inakua katika umri mdogo nadhan ni miaka 6 kama sijakosea. Na baada ya umri huo anaanza kujitambua na hivyo kuanza kujitenga na fikra hizo.
Huyu jamaa alikua mtu mzima tayari kwa hiyo hatuwezi kuifananisha na tafsiri halisi aliyoielezea Freud.

Hivi mwanaume ambaye storongo yake inasimama na kumwingilia mamake mzazi ataku na akili za kawaida au hamnazo?
Asprin ukichunguza sana utagundua kuna siri kubwa kati ya huyu mama na mwanawe ama huyu mtoto si wake wa kumzaa kabisa labda alimwiba kwa mtu akiwa mchanga ikapeleka watu kuamin kwamba ni mwanae mzazi. manake kwa akili ya kibinadamu huwez hata kumvulia mwanao nguo. yaani ni klein nimvulie chupi kabisa kitandani ama gson Mungu nishahidi nikifika kuwaza tu kufanya huo upuuzi Mungu na anizime fasta nisiamke milele.Hivi mwanaume ambaye storongo yake inasimama na kumwingilia mamake mzazi ataku na akili za kawaida au hamnazo?
hiyo ndio nguvu ya shetani...zote hizo ni laana tu period!
Hii habari ishaletwa hapa, na picha zilionyeshwa.
Freud was a fraud in many ways.
Lakini, wanasaikolojia wengi wanakubali kwamba matatizo mengi ya kisaikolojia yana mizizi katika utoto na malezi ya awali (early childhood development).

Asprin ukichunguza sana utagundua kuna siri kubwa kati ya huyu mama na mwanawe ama huyu mtoto si wake wa kumzaa kabisa labda alimwiba kwa mtu akiwa mchanga ikapeleka watu kuamin kwamba ni mwanae mzazi. manake kwa akili ya kibinadamu huwez hata kumvulia mwanao nguo. yaani ni klein nimvulie chupi kabisa kitandani ama gson Mungu nishahidi nikifika kuwaza tu kufanya huo upuuzi Mungu na anizime fasta nisiamke milele.
ha haaaaaaaaaaaa, yaani wewe kumbe ni mdau mzuri wa magezi ya udaku, mpaka unajua waandishi wake?dah!!! Shangazi yangu Joyce Joliga. Long time no see...!!! Kumbe siku hizi umehamia mwananchi kutoka kwenye magazeti ya udaku.
umenena mkuu hao watu inawezekana walikuwa wapiga matapu tapu na wana imani za kishirikina......
LOL, umenena. kwanza utafikaje mpaka stage ya kuvua nguo, utamtongozaje mwanao? ptuuuuAsprin ukichunguza sana utagundua kuna siri kubwa kati ya huyu mama na mwanawe ama huyu mtoto si wake wa kumzaa kabisa labda alimwiba kwa mtu akiwa mchanga ikapeleka watu kuamin kwamba ni mwanae mzazi. manake kwa akili ya kibinadamu huwez hata kumvulia mwanao nguo. yaani ni klein nimvulie chupi kabisa kitandani ama gson Mungu nishahidi nikifika kuwaza tu kufanya huo upuuzi Mungu na anizime fasta nisiamke milele.
LOL, umenena. kwanza utafikaje mpaka stage ya kuvua nguo, utamtongozaje mwanao? ptuuuu
Mimi nimepapenda hapo kwenye RED, hongera sana my dear.Babu DC, naomba hapa nieleze experience yangu mwenyewe.
Binafsi nina vidume 4 ambavyo mkubwa kabisa ni 15 yrs na mdogo ni miez 6 ivi. nilichokishuhudia na ambacho naendelea kukishuhudia kwangu ni kwamba watoto hawa walipokuwa wadogo walikuwa karibu sana na mim hasa Klein na Gson yaani ilikuwa hadi kulala lazima nilale nao na kuoga ilikuwa wanapenda zaid niwaogeshe mimi mwenyewe. ukaribu huu ulizidi sana hadi baba yao akapata wivu lakin haikuwa kazi rahisi kuondoa ukaribu huu. klein alipofika miaka 12 nilishangaa sana yeye mwenyewe alianza kuwa mwoga sana kwangu nikaona kuna distance tu imeibuka btn us. this time akarudi kuwa karibu sana na baba hadi leo.
sijachukia manake hata mdogo wake naye anafanya hivyo hivyo. kwa sasa hawa wadogo wawili ndio niko nao karibu. zile mama nakupenda nilizokuwa naambiwa na wanangu zimebaki kwa hawa wawili ila wale wakubwa hawana time kabisa. tena huyu wa miaka 9 hata kuogeshwa na mimi hatak zaid sana atamuomba kaka yake amuogeshe ama ataoga mwenyewe. distance iliyopo kati yetu imenifanya hata kupenda kuingia vyumban mwao niwe siko huru sana nikitaka kuingia lazima niwaambie na niingie nao ukiniuliza kwanin nafanya hivyo sijui ila najiona tu siko huru hata kuona nguo ya ndani ya mwanangu tena mtoto niliye mzaa mimi mwenyewe.
kwa staili hii ya huyu mama na mwanae ni wzi kwamba walifanya wakiwa hawako na utimamu wa mwili na akili. isingekuwa hivi huyu mama hata kuingia chumban kwa mwanae asingeweza.