Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Ni mambo ya ushirikina au kuendekeza mambo ya vilabuni katika pombe za kienyeji. Si ajabu wote ni wapiga mataputapu wazuri.
Kama ni mataputapu, ina maana wamelewa kwa miaka 10?
 
Theory ya Freud katika ukuaji wa watoto kisaikolojia, wanaita 'Oedipus complex' kwa watoto wa kiume na/au 'electra complex' (hii iliendelezwa na mwanasaikolojia mwingine) kwa watoto wa kike wanapotaman kuwa na baba zao!
Na inakua katika umri mdogo nadhan ni miaka 6 kama sijakosea. Na baada ya umri huo anaanza kujitambua na hivyo kuanza kujitenga na fikra hizo.
Huyu jamaa alikua mtu mzima tayari kwa hiyo hatuwezi kuifananisha na tafsiri halisi aliyoielezea Freud.

umejibu vyema sana mkuu. matamanio ya watoto kwa opposite sex huwa yanaishia miaka 9 hapa mtoto anakuwa amesha ajitambua sana na wa kiume ataanza kufwatana zaid na baba na wakike ataanza kufwatana mama yake. hii ndipo huleta ile theory ya security kwamba binadamu hujifeel much more secured akiwa na mtu wa jinsia yake na ndivyo ilivyo.
 
Theory ya Freud katika ukuaji wa watoto kisaikolojia, wanaita 'Oedipus complex' kwa watoto wa kiume na/au 'electra complex' (hii iliendelezwa na mwanasaikolojia mwingine) kwa watoto wa kike wanapotaman kuwa na baba zao!
Na inakua katika umri mdogo nadhan ni miaka 6 kama sijakosea. Na baada ya umri huo anaanza kujitambua na hivyo kuanza kujitenga na fikra hizo.
Huyu jamaa alikua mtu mzima tayari kwa hiyo hatuwezi kuifananisha na tafsiri halisi aliyoielezea Freud.

Hii habari ishaletwa hapa, na picha zilionyeshwa.

Freud was a fraud in many ways.

Lakini, wanasaikolojia wengi wanakubali kwamba matatizo mengi ya kisaikolojia yana mizizi katika utoto na malezi ya awali (early childhood development).
 
Hivi mwanaume ambaye storongo yake inasimama na kumwingilia mamake mzazi ataku na akili za kawaida au hamnazo?

Umeona na wewe mzee mwenzangu Asprin??

Hata mie nilipata maswali mengi ambayo kwa kweli siwezi kupata majibu ya kuniridhisha bila kuingiza nguvu zilizo nje ya uwezo wetu....Ndumba, karunguyeye, mazingaombwe n.k!!

Halafu jamaa mwenyewe alitoa maelezo jinsi alivyoanza kumtamani mama yake!! Alidai kuwa aliugulia ndani kwa ndani hadi uzalendo ukamshinda; eti akamwaga sera kwa mama yake mzazi (ngumu kuamini aisee)....Halafu akasema eti alifurahi sana baada ya mama yake kumkubalia.... Inakera sana hadi mtu unaweza kwenda kuazima lile bomu la FFU!!

Naona kama ndoto chafu mie...!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu DC, naomba hapa nieleze experience yangu mwenyewe.

Binafsi nina vidume 4 ambavyo mkubwa kabisa ni 15 yrs na mdogo ni miez 6 ivi. nilichokishuhudia na ambacho naendelea kukishuhudia kwangu ni kwamba watoto hawa walipokuwa wadogo walikuwa karibu sana na mim hasa Klein na Gson yaani ilikuwa hadi kulala lazima nilale nao na kuoga ilikuwa wanapenda zaid niwaogeshe mimi mwenyewe. ukaribu huu ulizidi sana hadi baba yao akapata wivu lakin haikuwa kazi rahisi kuondoa ukaribu huu. klein alipofika miaka 12 nilishangaa sana yeye mwenyewe alianza kuwa mwoga sana kwangu nikaona kuna distance tu imeibuka btn us. this time akarudi kuwa karibu sana na baba hadi leo.

sijachukia manake hata mdogo wake naye anafanya hivyo hivyo. kwa sasa hawa wadogo wawili ndio niko nao karibu. zile mama nakupenda nilizokuwa naambiwa na wanangu zimebaki kwa hawa wawili ila wale wakubwa hawana time kabisa. tena huyu wa miaka 9 hata kuogeshwa na mimi hatak zaid sana atamuomba kaka yake amuogeshe ama ataoga mwenyewe. distance iliyopo kati yetu imenifanya hata kupenda kuingia vyumban mwao niwe siko huru sana nikitaka kuingia lazima niwaambie na niingie nao ukiniuliza kwanin nafanya hivyo sijui ila najiona tu siko huru hata kuona nguo ya ndani ya mwanangu tena mtoto niliye mzaa mimi mwenyewe.

kwa staili hii ya huyu mama na mwanae ni wzi kwamba walifanya wakiwa hawako na utimamu wa mwili na akili. isingekuwa hivi huyu mama hata kuingia chumban kwa mwanae asingeweza.
 
Hivi mwanaume ambaye storongo yake inasimama na kumwingilia mamake mzazi ataku na akili za kawaida au hamnazo?
Asprin ukichunguza sana utagundua kuna siri kubwa kati ya huyu mama na mwanawe ama huyu mtoto si wake wa kumzaa kabisa labda alimwiba kwa mtu akiwa mchanga ikapeleka watu kuamin kwamba ni mwanae mzazi. manake kwa akili ya kibinadamu huwez hata kumvulia mwanao nguo. yaani ni klein nimvulie chupi kabisa kitandani ama gson Mungu nishahidi nikifika kuwaza tu kufanya huo upuuzi Mungu na anizime fasta nisiamke milele.
 
Last edited by a moderator:
Hii habari ishaletwa hapa, na picha zilionyeshwa.

Freud was a fraud in many ways.

Lakini, wanasaikolojia wengi wanakubali kwamba matatizo mengi ya kisaikolojia yana mizizi katika utoto na malezi ya awali (early childhood development).

ni kweli kabisa kwani early childhood development ni matokeo ya childhood rearing. sasa ukipanda magugu lazima utavuna magugu tu.
 
Hii habari ishaletwa hapa, na picha zilionyeshwa.

Freud was a fraud in many ways.

Lakini, wanasaikolojia wengi wanakubali kwamba matatizo mengi ya kisaikolojia yana mizizi katika utoto na malezi ya awali (early childhood development).

Nakubaliana na wewe kwamba malezi ya awali yanachangia kwenye mambo mengi tunayokuja kuayafanya ukubwani. Ila inatokeaje kwamba watu wazima wawili wenye akili timamu (assuming akili zao ni nzuri tu) wanakubaliana kufanya kitu cha ajabu kama hiki? Halafu ukizingatia kuwa makuzi yao ya awali yalikuwa tofauti....Mama ana miaka 70 na kijana ni mtoto wake wa kumzaa (most likely less than 50yrs old)!! Hapa bado panaacha mwanya ambao ni ngumu kupata jibu lake!!

Hata hivyo, hii makala imetoka kwenye gazeti la mwananchi la jana Jumamosi (8th Sept) na mwandishi amesema kuwa hili tukio ni la hivi karibu.. Kama limeshaletwa hapa basi itakuwa gazeti limerudia au ni tukio linalofanana na hili.

Babu DC!!
 
Nina rafiki yangu wa karibu sana na ambaye tumesoma naye darasa moja, kwao wamezaliwa wawili (yaani kaka na dada) toka kwa baba mmoja na mama mmoja na hivi ninavyoandika wameoana na wana watoto wawili. Padre alikataa kufunga ndoa yao kwani wote ni watoto wa mama mmoja ila wao walikataa katu.

Wanafanana kama wale mapacha wa SIAME.
 
Asprin ukichunguza sana utagundua kuna siri kubwa kati ya huyu mama na mwanawe ama huyu mtoto si wake wa kumzaa kabisa labda alimwiba kwa mtu akiwa mchanga ikapeleka watu kuamin kwamba ni mwanae mzazi. manake kwa akili ya kibinadamu huwez hata kumvulia mwanao nguo. yaani ni klein nimvulie chupi kabisa kitandani ama gson Mungu nishahidi nikifika kuwaza tu kufanya huo upuuzi Mungu na anizime fasta nisiamke milele.

Yaani kadri unavyosimulia gfsonwin, nahisi kutetemeka....

Kwa mama mzazi kweli???

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
umenena mkuu hao watu inawezekana walikuwa wapiga matapu tapu na wana imani za kishirikina......

Huenda aisee ni hayo mambo maana mtoto kama sikosei ana miaka 40 mama yake ana miaka 70 which means wakati wanaanza mtoto alikuwa na 30 yrs while mama yake alikuwa 60yrs kiasi kwamba walikuwa wanajitambua ingekuwa mtoto ni under 18 yrs tunesema mama amembaka kwa kumshawishi lakini bado ingefika kipindi flani hata kama alikuwa under 18 yrs angeshituka. Issue hii ipo very complicated ukitafakari kwa makini nakumbuka walihojiwa na Msigwa wa TBC na walikuwa wanajibu comfortably kama hakuna cha ajabu
 
Asprin ukichunguza sana utagundua kuna siri kubwa kati ya huyu mama na mwanawe ama huyu mtoto si wake wa kumzaa kabisa labda alimwiba kwa mtu akiwa mchanga ikapeleka watu kuamin kwamba ni mwanae mzazi. manake kwa akili ya kibinadamu huwez hata kumvulia mwanao nguo. yaani ni klein nimvulie chupi kabisa kitandani ama gson Mungu nishahidi nikifika kuwaza tu kufanya huo upuuzi Mungu na anizime fasta nisiamke milele.
LOL, umenena. kwanza utafikaje mpaka stage ya kuvua nguo, utamtongozaje mwanao? ptuuuu
 
Babu DC, naomba hapa nieleze experience yangu mwenyewe.

Binafsi nina vidume 4 ambavyo mkubwa kabisa ni 15 yrs na mdogo ni miez 6 ivi. nilichokishuhudia na ambacho naendelea kukishuhudia kwangu ni kwamba watoto hawa walipokuwa wadogo walikuwa karibu sana na mim hasa Klein na Gson yaani ilikuwa hadi kulala lazima nilale nao na kuoga ilikuwa wanapenda zaid niwaogeshe mimi mwenyewe. ukaribu huu ulizidi sana hadi baba yao akapata wivu lakin haikuwa kazi rahisi kuondoa ukaribu huu. klein alipofika miaka 12 nilishangaa sana yeye mwenyewe alianza kuwa mwoga sana kwangu nikaona kuna distance tu imeibuka btn us. this time akarudi kuwa karibu sana na baba hadi leo.

sijachukia manake hata mdogo wake naye anafanya hivyo hivyo. kwa sasa hawa wadogo wawili ndio niko nao karibu. zile mama nakupenda nilizokuwa naambiwa na wanangu zimebaki kwa hawa wawili ila wale wakubwa hawana time kabisa. tena huyu wa miaka 9 hata kuogeshwa na mimi hatak zaid sana atamuomba kaka yake amuogeshe ama ataoga mwenyewe. distance iliyopo kati yetu imenifanya hata kupenda kuingia vyumban mwao niwe siko huru sana nikitaka kuingia lazima niwaambie na niingie nao ukiniuliza kwanin nafanya hivyo sijui ila najiona tu siko huru hata kuona nguo ya ndani ya mwanangu tena mtoto niliye mzaa mimi mwenyewe.

kwa staili hii ya huyu mama na mwanae ni wzi kwamba walifanya wakiwa hawako na utimamu wa mwili na akili. isingekuwa hivi huyu mama hata kuingia chumban kwa mwanae asingeweza.
Mimi nimepapenda hapo kwenye RED, hongera sana my dear.
Kuhusu mada, mimi sidhani kama ilitokea kimapenzi ya kawaida, kuwa kila mtu alivutiwa na mwenzake kwa hali ya kawaida.... huko vijijini mambo ya ushirikina yapo....... nahisi huyo mama alimpenda sana kijana wake akaamua amloge ili asipende mdada mwingine na awe naye yeye tu
 
Back
Top Bottom