Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Watoto wanaozaliwa mazingira mfano
* Uswahili
Hizi sehemu ni tatizo kubwa kwa watoto wengi ambapo ukutana na makundi ya kila aina yenye tabia za ajabu kama wizi, madawa ya kulevya, mateja, wasio jielewa, wahuni na n.k mfano: Mburahati, Manzese, Tandika, Manzese, Nyiogo(Kahama) na maeneo mengi japo mikoa mengine sipajui!
*Maeneo ya biashara/stendi
Hizi sehemu waathirika wakubwa ni watoto maana kuna kila aina ya tabia na kama makazi yapo karibu na hizi sehemu.
mfano Kariakoo, Tandika stendi, Manzese, Tandale na n.k
*Maeneo yenye starehee sana au kumbi za starehee
Hizi sehemu watoto wengi wanaharibikiwa na sio wageni kuona. Mfano Kinondoni, Sinza,Tabata na n.k
Ni hayo tu