Mtoto akiri Mahakamani kubakwa na baba yake ambaye ni Mchungaji wa Kanisa

Mchungaji huyo alikuwa ni muumini wa Dini ya Kiislam, alibadili dini na kuanza kuhamia katika Ukristo lakini hakubadili dini.
 
....Miaka SITA Kwa Miaka 54??? Inaingiaje??? Baba akatwe TU Nanihii yake...!!!
 
Daah inawezekana madingi wengi ndio tabia yao maana haiwezekan mabinti watuaminishe kuwa ni mabikra alaf unaweka unakuta shwaaaaaa kumbe kitambo washaikula eni wei nimejaribu kuwa upande wa future husband wa binti naona wadau wengi mpo upande wa mahakama
 
Sentesi ya mwisho inachanganya..anyway hukumu itende haki yake ipasavyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Itakuwa huyu pasta alijaribiwa na shetani ndo akakatafuna katoto kake kabichi.[emoji848] mjue shetani ana wajaribu sana manabii wetu
 
Mchungaji huyo alikuwa ni muumini wa Dini ya Kiislam, alibadili dini na kuanza kuhamia katika Ukristo lakini hakubadili dini.
Hakubadili dini kivipi ? kiislamu mtu kubadili dini hakuna barua wala mjumbe ukishakana imani yako moyoni ujue basi hapo hauna dini na kama huyo alishafika levo ya kuwa mchungaji hapo kabisa ameshabadili dini.
 
Jina tu ni NURDIN, unadhani atakuwa mkristo wa aina gani huyo?? [emoji1787] [emoji23]
Unajua maana ya jina hilo katika lugha yetu ya Kiswahili?
Nur =Mwangaza, Din=Dini DINI YENYE MWANGAZA.

NURDIN=DINI INAYOANGAZA. Sio jina baya.
 
Hakubadili dini kivipi ? kiislamu mtu kubadili dini hakuna barua wala mjumbe ukishakana imani yako moyoni ujue basi hapo hauna dini na kama huyo alishafika levo ya kuwa mchungaji hapo kabisa ameshabadili dini.
Nadhani mwandishi huenda alikuwa akimaanisha kuwa, mtu huyo alibadili dini lakini hakubadili jina.

Nimefikiri kimantiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…