Mtoto alipowafumania baba na mama, kumbe jirani nae anahusika, afanyaje?

Mtoto alipowafumania baba na mama, kumbe jirani nae anahusika, afanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Haya bwana long weekend ndio hii

Mefika nyumbani toka Arusha leo, nikaja kupokelewa na mtoto wa jirani ananikimbilia huku analia

baada ya kukaa nae ananieleza kuwa
Mtoto: Bibi Penny, juzi nimeamka usiku nashindwa kulala, nikaenda chumbani kwa mama kumwamsha mama, nikamkuta amekaa juu ya baba sikuelewa anafanyaje, nikasimama muda mrefu mpaka akaniona, nikakimbia chumbani mama akanifuata

Money Penny: mama akasemaje?

Mtoto: nikamwuliza mama kwanini umekaa juu ya baba, mama akasema kuwa tumbo la baba limekuwa kubwa nilikuwa namfanyia mazoezi lipungue asiwe na kitambi

Mtoto: oh! sasa mbona unahangaika bure, maana mchana ukiendaga sokoni Anakujaga aunty jirani kuongea na baba na huwa nawakuta baba amesimama alafu aunty jirani anampuliza baba tumbo liwe kubwa

Baada ya kumwambia mama hivyo, asubuhi nimeamka wanagombana nikakuona nikakukimbilia sijui wanagombana nini?

Haya jaman mimi huyu mtoto namjibu nini, ana miaka 3
 
Back
Top Bottom