Mtoto aliye daiwa kupotea tabora ,amekutwa amefariki kwenye kisima cha maji cha nyumbani kwao

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Inalilah wainailah rajiun

Mtoto amepatikana amefarik akiwa amedumbukia kisimani nyumbani kwao

Shukran sana ndugu zangu kwa dua zenu na ushirikiano wenu

Pia soma..https://www.jamiiforums.com/threads/mtoto-amepotea-anatafutwa-na-wazazi-wake.2235104/
 
Attachments

  • 1753028580243.jpg
    1753028580243.jpg
    217.1 KB · Views: 19
hii taarifa niyakutia shaka sana, sikumbili hawajachota maji? hawakuwaza tangia siku ya kwanza kuwa angeweza kuwa katumbukia mtoni?
 
Unajua ni kisima cha aina gani au unaropoka tu?
 
hii taarifa niyakutia shaka sana, sikumbili hawajachota maji? hawakuwaza tangia siku ya kwanza kuwa angeweza kuwa katumbukia mtoni?
Ni kweli. Inatakiwa uchunguzi wa kina ufanywe japo polisi wetu hawana muda na mambo kama haya.
 
Jamani daah
sema madogo huwa wanahangaika Sana
Ukiwa na mtoto kisima au kujaza jaza mavitu nyumbani maji ni hatari Sana yaani
 
DAH innalillah wainailah rajiuun .sisi niwa KWAKE nyumbani tutarejea
 
Inalilah wainailah rajiun

Mtoto amepatikana amefarik akiwa amedumbukia kisimani nyumbani kwao

Shukran sana ndugu zangu kwa dua zenu na ushirikiano wenu

Pia soma..https://www.jamiiforums.com/threads/mtoto-amepotea-anatafutwa-na-wazazi-wake.2235104/
yote yanawezekana kutumbikia au kutumbukizwa...... fanya uchunguzi
 
Back
Top Bottom