digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Kwa kawaida kama mtu atazama Kwenye bahari au ziwa au kisima Kuna hoja ya kuzingatia kuwa :-hii taarifa niyakutia shaka sana, sikumbili hawajachota maji? hawakuwaza tangia siku ya kwanza kuwa angeweza kuwa katumbukia mtoni?
:baada ya kuzama, mwili unaweza kuanza kuibuka juu ya maji baada ya siku 2 hadi 5,ila itategeneana na gesi zinazojikusanya mwilini wakati wa kuoza.Lakini si kila mwili huibuka haraka — kuna maeneo yenye maji baridi au mtiririko mkubwa ambapo mwili unaweza kuchukua muda zaidi, au hata usionekane kabisa.
Hivyo kwa hoja yako kuwa kwani kisima hicho hakikutumika kwa siku mbili na kumuona huyo mtoto yaweza kujibiwa kuwa huenda mtoto akizama chini na baadae baada ya Hali niliyoieleza hapo juu ,mwili umeibuka