Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

Na section 125 of the Penal Code: “Any person who destroys, damages or defiles any place of insult to worship or any object which is held sacred by any class of persons with the intention of thereby insulting the religion of any class of any class persons or with the knowledge that any class of persons is likely to consider such destruction, damage or defilement as an insult to their religion, is guilty of an offence".

Yule dogo hakuwa na nia ya ku insult, bali alitaka kuthibitisha km atageuka mjusi au kuwa chizi. Hadi hapo, kwa sheria hiyo, sijaona hatia yake.
 
hebu ninukuu mambo machache kutoka katika mchango wako:

1. Wakristo kuwaacha watoto wao wa kike kutembea uchi!: hizi takwimu unazipata wapi?. Unadhani madada poa na makaka poa wengi walioko Zanzibar ni wa dhehebu gani?!.

2: kuhusu mtoto kukojolea sheria!:, so what?!, mtoto akikojolea kitanda kinachotumiwa na baba na mamaye kutengeneza watoto wengine inakuwaje?!,

MCHANGO WANGU: KILA WAISLAM (HAPA TANZANIA) WANAPO ANDAMANA KWA KISINGIZIO CHA KUTETEA DINI YAO, HUHARIBU NA KUIBA MALI, KWAHIYO, KUCHUKUA MALI (KUIBA) ISIYO YAKE NI HALALI KWA UISLAM.

JE, Victim (kikojozi) wa mbagala ni dhehebu gani?!, mbona mmechoma mpaka kanisa la wasabato, kwani wasabato ni wakristo?!, hivi ndivyo uelewa wenu uavyowatuma?!, kwanini hapa huyu raisi mliyempigia kampeni msikitini asihusike?. Mpaka nitakapo pata majibu ya hoja zangu, i hold ISLAM kama genge la uharifu.

mkuu Gama umeandka point ila sijakuelewa hapi ulipouliza kama wasabato no wakristo?
 
Last edited by a moderator:
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!

wewe sio muislamu, wala usijiite muislamu. Kama ulikua muislamu umeshakua KAFIR kwa kauli yako kuo unaona aibu kuitwa muislamu. Kama ulikua muislamu unajua nini cha kufanya.
 
Issue kama hizi zinahitaji busara sana kudeal nazo. Sasa hawa watawala wetu hamna kitu kabisa aisee!

Yaani aliyekojolea msaafu anapandishwa kizimbani; wanaochoma magari, makanisa na mali wanadunda mitaani?

aliyeshashiwi naye kwanini hapandi karandinga kuelekea mahakamani?
Kama siyo kushawishiwa na kuletewa huo msahafu mkojo ungelowanisha nini?
Huo msahafu alikua nao huyo dogo mwenye mkojo? Aliutoa wapi.Haiingii akilini ati hawa watoto pekee ndio walihusika na hili tukio. Kuna watu wazima wamejificha na hao nao wanapaswa kuunganishwa kwenye shtaka.
Wapelelezi hebu fanyeni kazi acheni mahoka.
 
Hapa JK hawezi kutoa neno coz we know him. Ila inasikitisha pale baadhi ya watu wanavunja sheria waziwazi na hawachukuliwi hatua kisa dini zao. Shekhe Ponda siku hizi amekuwa kama anajeshi lake na taratibu zake mwenyewe(untouchable), ila kwa Waisilamu inabidi wawe makini sasa coz badala ya mafundisho ya dini sasa wote wameamua kuwa Wanaharakati. Tukiendelea hivi na chuki hizi kinachofuatia hata Msikitini watakuwa hawaendi tena badala yake itakuwa Msituni kama Boko Haramu kule Nigeria. Kwa kweli JK na serikali yake kama hawatakuwa makini na hawa watu watakuwa hawaujengi Uisilamu wa kweli badala yake watajenga makundi kwenye Uisilamu ambayo yatahatarisha amani ya nchi.
 
wewe sio muislamu, wala usijiite muislamu. Kama ulikua muislamu umeshakua KAFIR kwa kauli yako kuo unaona aibu kuitwa muislamu. Kama ulikua muislamu unajua nini cha kufanya.

Mganga wa Kienyeji sijui kama wewe ni mfuasi mzuri wa dini. Dini ni imani na imani hupiganiwa kiroho na sio kimwili kama ulivyofanya Mbagala na Zanzibar. Badilika soma maandiko na wala usimsikilize Ponda atakupteza.
 
wewe sio muislamu, wala usijiite muislamu. Kama ulikua muislamu umeshakua KAFIR kwa kauli yako kuo unaona aibu kuitwa muislamu. Kama ulikua muislamu unajua nini cha kufanya.

The word kaffir, sometimes spelled kaffer or kafir, is an offensive term for a black person, most common in South Africa and other African countries. Generally considered a racial or ethnic slur in modern usage, it was previously a neutral term for black southern African people.


The word is derived from the Arabic term Kafir, which means 'disbeliever' or literally, 'one who conceals [the truth]'.


Portuguese explorers used the term generally to describe tribes they encountered in southern Africa, probably having misunderstood its etymology from Muslim traders along the coast. European colonists subsequently continued its use.Although it was in wide use between the 16th and 19th centuries, and not generally seen as an offensive term, as racial tensions increased in 20th-century South Africa and the surrounding countries, it became a term of abuse.The word was used in English, Dutch and, later, Afrikaans, from the 16th century to the early 20th century as a general term for several different peoples of southern Africa. In Portuguese the equivalent cafre was used.


In South Africa today, the term is used both as an insult, and by some, as a common word for a black person. In either case, the term is regarded by most as derogatory (in the same way as "nigger" in other countries). Use of the word has been actionable in South African courts since at least 1976 under the offense of crimen injuria: "the unlawful, intentional and serious violation of the dignity of another.
 
hebu ninukuu mambo machache
kutoka katika mchango wako:

1. Wakristo kuwaacha watoto wao wa kike kutembea uchi!: hizi takwimu
unazipata wapi?. Unadhani madada poa na makaka poa wengi walioko
Zanzibar ni wa dhehebu gani?!.

2: kuhusu mtoto kukojolea sheria!:, so what?!, mtoto akikojolea kitanda
kinachotumiwa na baba na mamaye kutengeneza watoto wengine inakuwaje?!,

MCHANGO WANGU: KILA WAISLAM (HAPA TANZANIA) WANAPO ANDAMANA KWA
KISINGIZIO CHA KUTETEA DINI YAO, HUHARIBU NA KUIBA MALI, KWAHIYO,
KUCHUKUA MALI (KUIBA) ISIYO YAKE NI HALALI KWA UISLAM.

JE, Victim (kikojozi) wa mbagala ni dhehebu gani?!, mbona mmechoma mpaka
kanisa la wasabato, kwani wasabato ni wakristo?!, hivi ndivyo uelewa
wenu uavyowatuma?!, kwanini hapa huyu raisi mliyempigia kampeni
msikitini asihusike?. Mpaka nitakapo pata majibu ya hoja zangu, i hold
ISLAM kama genge la uharifu.

hivi kweli wafiraji,*******,wabwia unga ,wauza unga wanapatikana wapi zaidi
 
muislam ni wewe sababu ya ndevu na suruali fupi na chini lapa! Kuna uhusiano gani wizi na uislam? Mbagala licha ya uharibifu jamaa wamekwapua generator na mali za kanisa

Nilisha kungamua. Tehe! Tehe! Do! Amakweli kazi ipo. Umetumwa au?
 
Mganga wa Kienyeji sijui kama wewe ni mfuasi mzuri wa dini. Dini ni imani na imani hupiganiwa kiroho na sio kimwili kama ulivyofanya Mbagala na Zanzibar. Badilika soma maandiko na wala usimsikilize Ponda atakupteza.

ndenga, MIMI KAMA MUISLAMU, SI SAPOTI MOJA KWA MOJA KILICHOTOKEA MBAGALA NA ZANZIBAR. LAKINI KAMA MTU MWENYE AKILI, NI VIZURI KUANGALIA TULIPO JIKWAA KULIKO PALE TULIPO ANGUKIA.
 
the word kaffir, sometimes spelled kaffer or kafir, is an offensive term for a black person, most common in south africa and other african countries. Generally considered a racial or ethnic slur in modern usage, it was previously a neutral term for black southern african people.


the word is derived from the arabic term kafir, which means 'disbeliever' or literally, 'one who conceals [the truth]'.


portuguese explorers used the term generally to describe tribes they encountered in southern africa, probably having misunderstood its etymology from muslim traders along the coast. European colonists subsequently continued its use.although it was in wide use between the 16th and 19th centuries, and not generally seen as an offensive term, as racial tensions increased in 20th-century south africa and the surrounding countries, it became a term of abuse.the word was used in english, dutch and, later, afrikaans, from the 16th century to the early 20th century as a general term for several different peoples of southern africa. In portuguese the equivalent cafre was used.


in south africa today, the term is used both as an insult, and by some, as a common word for a black person. In either case, the term is regarded by most as derogatory (in the same way as "nigger" in other countries). Use of the word has been actionable in south african courts since at least 1976 under the offense of crimen injuria: "the unlawful, intentional and serious violation of the dignity of another.

Blasphemous. the word is an arabic in origin. Very common in islam. It means the one who is against and denies islam. Any one.

The long narration you have presented here, is very much misleading. In south africa it was mis used only to instigate hatred in the african population. We muslims never use it that way.

To us
KAFIR is not an insult, it is a description of such persons as I have mentioned above.

So bad so many people are misled.
 
Ntaifuatilia hiyo kesi baada ya kuisha kwa muuaji wa mwandishi wa habari iringa.
 
Back
Top Bottom