Mtoto aliyepo tumboni huwa hana UKIMWI. Je, mwanamke mweye ukimwi akiwa hedhi ile damu yake haina VVU??

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
767
Reaction score
1,083
Wajuzi wa mambo njooni hapa! mtueleze ukweli wa mambo, maana juzi kati nilikuwa na game na ka she fulani hapa mtaani kwetu kumbe yule she alikuwa hajamaliza period yake vizuri na hakuniambia, sasa nilicheza bila viatu ile game kuja kushituka wakati na shangilia ushidi wa 1-0 dk ya tisini nikaona damu wacha wee akil imeyumbaa!
 
Kama kuna michubuko ushawaka braza. Nenda hospitali wacheck cd4 ujue utaanza lini kula njegere.
 
Duuh pole mkuu kama uume wako uligusa damu yake na ulipata mchibuko aanza tuu dawa
 
Virus vya Ukimwi vinakaa kwenye damu

Je Huyo mwanamke uliambiwa kuwa ana Ukimwi mpaka unaanza kuwa na wasiwasi
 
wajuzi wa mambo njooni hapa! mtueleze ukweli wa mambo, maana juzi kati nilikuwa na game na ka she fulani hapa mtaani kwetu kumbe yule she alikuwa hajamaliza period yake vizuri na hakuniambia, sasa nilicheza bila viatu ile game kuja kushituka wakati na shangilia ushidi wa 1-0 dk ya tisini nikaona damu wacha wee akil imeyumbaa!
Vijana wengi mnaogopa ukimwi ila kuna hepatitis mkuu tena inayosababisha kansa ya ini spread yake ni hatari kuliko HIV na ni life time disease Yani ata mgusano tuu na Maji Maji ya mwili ushaupata , mate jasho na Yale ya Niaje Yote yanaweza sambaza so kuwa makini .ila uzuri ni Kwamba kuna kinga yake na umepatkana kwa urahisi tuu kwenye vituo vingi vya afya hapa nchini na ni bei nafuu
 
Nenda kwa amani mkuu msalimemie banza stone
 
Pole Mdogo wangu!
Kama daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20, Nimekuja na Conclusion ya kwamba HIV IS THE HARDEST VIRUS TO TRANSMIT.. si rahisi kama unavyofikiria.. unaweza kuambiwa tafuta kazi na HIV ukapata kazi ukakosa Hiv.. kwa case yako upo kwenye low risk exposure kwa sababu hujaconfirm kama partner ni positive!

pia siku nyingine ukiingia kwenye risk ya HIV within 3 days hakikisha unamuona mtaalamu wa afya upate PEP (Pre Exposure Prophlaxis)!

Your Bro!

Santana
 
Mtoto aliye tumboni anahusika aje katika huu uzinzi? Huyo ni malaika, hawezi kuupata, tatizo ni akina siye huku tunaojiendekeza bila ya tahadhari licha ya akili tuliyojaliwa.
 
Asante kwa swali zuri na utakuwa umeuliza mda sahihi kabisa

Virusi vya ukimwi vipo kwenye damu na hata majimaji ya ukeni pia yana virusi vya ukimwi...kwa kufanya mapenzi wakati wowote na mwanamke ambaye tayari ana virusi vya ukimwi unaweza kupata virusi vya ukimwi japo risk inaongezeka zaidi kama mwanamke yupo kwenye siku zake kutokana na damu ambayo inatoka wakati wa hedhi

Kwa mtu kupata vizuri vya ukimwi katika mazingira kama hayo inategemea kama michubuko ilikuwepo wakati anafanya uzinzi huo..

Kama una uhakika mwanamke huyo ana virusi vya ukimwi unachoweza kufanya ni kwenda hospitali ghafla ikiwezekana na huyo mwanamke wako ili madaktari wajihakikishie kwamba anao au la

Wakikuta anao basi wanaweza kukuanzisha PEP ambayo ni effective katika kuzuia wewe kupata vizuri...PEP inafanya kazi kama utaanza kuitumia ndani ya masaa 72...ukichelewa game itakuwa ngumu kwako

Pia wadau achenu kufanya mapenzi kavukavu bila kuwa na uhakika na afya za hawa side chick..mtakuja kutuachia watoto yatima bure...mafala wakubwa
 
Huyo mwanamke una uhakika ni HIV+?
Akiwa + na anakunywa dawa vizuri mpaka judicial undectectable status hawezi kukuambukiza.
Ukishakuwa HIV positive na ukatumia dawa mpaka kwenye undetectable level haimaniishi kwamba huwezi kuambukiza..undetectable level inaonyesha tu kwamba viral load(idadi ya virusi imepungua)...kwa hiyo virusi bado wapo japo kwa idadi ndogo mno(the drugs are working with good efficiency)..unaweza kuambukiza japo japo sio kwa rate kubwa kama mtu ambaye ana detectable amount...

Sehemu chache sana pia wanapima viral load
 
Vijana wengi mnaogopa ukimwi ila kuna hepatitis mkuu tena inayosababisha kansa ya ini spread yake ni hatari kuliko HIV na ni life time disease Yani ata mgusano tuu na Maji Maji ya mwili ushaupata , mate jasho na Yale ya Niaje Yote yanaweza sambaza so kuwa makini .ila uzuri ni Kwamba kuna kinga yake na umepatkana kwa urahisi tuu kwenye vituo vingi vya afya hapa nchini na ni bei nafuu
Kinga ya homa ya ini ipo mkuu
 
Asante kwa swali zuri na utakuwa umeuliza mda sahihi kabisa

Virusi vya ukimwi vipo kwenye damu na hata majimaji ya ukeni pia yana virusi vya ukimwi...kwa kufanya mapenzi wakati wowote na mwanamke ambaye tayari ana virusi vya ukimwi unaweza kupata virusi vya ukimwi japo risk inaongezeka zaidi kama mwanamke yupo kwenye siku zake kutokana na damu ambayo inatoka wakati wa hedhi

Kwa mtu kupata vizuri vya ukimwi katika mazingira kama hayo inategemea kama michubuko ilikuwepo wakati anafanya uzinzi huo..

Kama una uhakika mwanamke huyo ana virusi vya ukimwi unachoweza kufanya ni kwenda hospitali ghafla ikiwezekana na huyo mwanamke wako ili madaktari wajihakikishie kwamba anao au la

Wakikuta anao basi wanaweza kukuanzisha PEP ambayo ni effective katika kuzuia wewe kupata vizuri...PEP inafanya kazi kama utaanza kuitumia ndani ya masaa 72...ukichelewa game itakuwa ngumu kwako

Pia wadau achenu kufanya mapenzi kavukavu bila kuwa na uhakika na afya za hawa side chick..mtakuja kutuachia watoto yatima bure...mafala wakubwa
Hahaaaa, na tusi juu,
Kwani mkuu umeambiwa tunaishi milele tuache tule raha bwana, usipoenda na ukimwi kuna magonjwa mengine mengi tu,
Ukiukwepa kwa michepuko waweza letewa na mzazi mwenzio so mi naona bora kujiachia tu
 
Sijui ila nasikia moto huko tuendako upo mwingi...tena moto wa kuacha watoto wadogo wakiteseka Duniani...

Hata hizi dawa za ukimwi bro sio nzuri kabisa na zina maudhi makubwa sana...

Sisemi sitapata ukimwi...kama nitaupata basi uje kwa bahati mbaya sana kiasi cha nilikuwa siwezi kuuzuia
 
Hivi bado kuna watu wanaogopa ukimwi miaka hii.
Ugonjwa feki huo we piga mzigo acha woga.
 
Back
Top Bottom